Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

1656007349332.png
 
Msimu huu tuko below Arsenal in percking order
Arsenal wanasubmit ofa kwa Raphina, Gabriel Jesus, Richarlison
Chelsea zero offer instead Chelsea suffer a blow for Dembele, Jules Kounde, Matthijs de Ligt, Nkunku huku wachezaji muhimu wakisepa. Mashabiki viroho juu kuliko hata wakati wa Ligi dhidi ya Man city au Liverpool
 
Katika kipindi kama hiki ndio ulikua wakati mzuri kwa kijana kama Odoi kuprove kile alichonacho, anatakiwa aoneshe kwa nini Bayern walikua wanamuhitaji kwa nguvu zote zile. Alitakiwa awasiliane na Vini Jr ampe siri aliwezaje kutoka mavumbini mpaka kuwasha moto vile msimu huu.

Ila tatizo la hawa watoto wa malkia ujana mwingi hawajali kabisa perfomance yao uwanjani. Odoi ana uwezo mkubwa tofauti na hiki tunachokiona. TT inabidi awachape viboko hawa watoto hasa Odoi na Pulisic
 

The 22 yr old Matthijs de Ligt submit a transfer request to Juventus​

The promosing boost to Chelsea
 

Report: Chelsea have made strongest bid to sign 'generational' talent, his club are getting very agitated​

Chelsea have reportedly made the strongest offer to Juventus to try and sign defender Matthijs de Ligt.

Huyu De Light ninamkubali, ni future CB mzuri na ana miaka 22 tu, ana uzoefu kibao tangu akiwa Ajax aliiwezesha Ajax kufika nusu finali za UEFA ikiziangusha miamba mikubwa kama Real Madrid na Juventus mwaka 2018/19. Tangu 2016 amekuwa first starter Ajax kabla ya kuhamia Juventus 2019. Sasa ana uzoefu wa first team kwa miaka 5. Pia March 2018 alitangazwa kuwa Nahodha wa Ajax na kuwa mchezaji wa kwanza kuwekwa kuwa nahodha katika umri mdogo wa miaka 18 tu
Karibu Chelsea De light
1656078509602.png
 
Todd amemuahidi TT wachezaji sita sio haba, tukitumia paundi mil 200 na tukauza matakata pale inaweza ikafika paundi mil 300 na ushee tukafanya signings za maana sana
  1. Forward mmoja
  2. Kiungo mmoja na
  3. Mabeki wanne
Thomas Tuchel has been assured he will be able count on as many as six new signings to boost his Chelsea squad before the transfer window closes.
According to the Telegraph, Tuchel will be armed with a £200million budget that could be boosted further by the sale of several players who could be deemed surplus to requirements.
1656078591869.png

 
Mimi naona Dembele ataendana sana na Havertz, Gallagher, Rahim Sterling, Werne, Odoi na Mount bila kumsahau Broja
Katikati Kovacic, Sangare, Kante na Harvey watafanya kazi hiyo na nyuma watakuwepo Chilwell, James, Silva, Kounde na Kimpembe wakisaidiana na Levi Colwill, Chalobah, De light, Lewis Hall na Dumfries. Wakati makipa watatu, Mendy atasaidiwa na Strakosha na Slonina

Mount --- Havertz -- Dembele (New)

Chilwell --- Kovacic --- Ibrahim Sangare (New) --- James

Kimpembe (New)-----Silva --- Kounde (New)

Mendy

Sub/Rotation
  1. Thomas Strakosha (GK) - New
  2. Gabriel Slonina (GK) - New
  3. Levi Colwill (CB) -Academy
  4. Chalobah (CB)
  5. Matthijs de Ligt (CB) - New
  6. Dumfries (RB) - New
  7. Lewis Hall (LB) -Academy
  8. Kante (DM)
  9. Harvey Vale (MF) -Academy
  10. Odoi (Forward)
  11. Werner (Forward)
  12. Conor Gallagher (Forward) - On Loan
  13. Raheem Sterling (Forward) - New
  14. Armando Broja (Striker) - On Loan
Updated line up ya msimu ujao baada ya kusajili msimu huu

Mount --- Havertz -- Raheem Sterling (New winger/forward)

Chilwell --- Kovacic --- Ibrahim Sangare (New DM) --- James

Matthijs de Ligt (New CB)-----Silva --- Kounde (New CB)

Mendy

Sub/Rotation
  1. Thomas Strakosha (GK) - New
  2. Gabriel Slonina (GK) - New
  3. Levi Colwill (CB) -Academy
  4. Chalobah (CB)
  5. Dumfries (RB) - New
  6. Lewis Hall (LB) -Academy
  7. Kante (DM)
  8. Harvey Vale (MF) -Academy
  9. Odoi (Forward)
  10. Werner (Forward)
  11. Conor Gallagher (Forward) - On Loan
  12. Armando Broja (Striker) - On Loan
 
Kuna uwezekano wa werner na Ziyech kuondoka msim huu

Werner anahusishwa kwenye deal la De Ligt( 30 + werner)
Huku Ziyech akihusishwa kujiunga na Ac Milan

Possible Replacement
Dembele
Richarlison
Raphinha
 
Kuna uwezekano wa werner na Ziyech kuondoka msim huu

Werner anahusishwa kwenye deal la De Ligt( 30 + werner)
Huku Ziyech akihusishwa kujiunga na Ac Milan

Possible Replacement
Dembele
Richarlison
Raphinha
Yan aondoke Werner halafu Pulisic abaki?
 
Tuchel amefanya mazungumzo na Rahim Sterling, mazungumzo yamekuwa chanya, baada ya mazungumzo klabu inajiandaa kutuma ofa ya kwanza kwenda man city.
 
Tuchel amefanya mazungumzo na Rahim Sterling, mazungumzo yamekuwa chanya, baada ya mazungumzo klabu inajiandaa kutuma ofa ya kwanza kwenda man city.
Hawa watatu ni wa uhakika
Matthijs de Ligt, Raheem Sterling na Jules Kounde
 
Kama chelseafc itamuuza Ziyech utakuwa ni upuuzi wa kiwango Cha grade 1
Sio wote wanaouzwa ni wabaya, hata Lukaku mimi sijaamini kama ni mbaya kivile. Sio wachezaji wote wanaendana nafalsafa na staili ya uchezaji anayotaka kocha. Ziyech ameshindwa kufit in kwa TT, Werner kashindwa kufit in, Pulisic mimi namuona yuko vile vile alivyokuwa Ujerumani. Lukaku totaly kashindwa kuingia kwenye mfumo wa TT, Wachjezaji wote hao ni wazuri lakini sio kwa TT style of playing. Njia pekee ni kuwauza au kuwafanyia swap ili tupate wanaoendana na kocha. Sababu kuu ni hiyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom