Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sio wote wanaouzwa ni wabaya, hata Lukaku mimi sijaamini kama ni mbaya kivile. Sio wachezaji wote wanaendana nafalsafa na staili ya uchezaji anayotaka kocha. Ziyech ameshindwa kufit in kwa TT, Werner kashindwa kufit in, Pulisic mimi namuona yuko vile vile alivyokuwa Ujerumani. Lukaku totaly kashindwa kuingia kwenye mfumo wa TT, Wachjezaji wote hao ni wazuri lakini sio kwa TT style of playing. Njia pekee ni kuwauza au kuwafanyia swap ili tupate wanaoendana na kocha. Sababu kuu ni hiyo
Kumbuka kwenye format ya TT ni Ziyech aliyekuwa game changer kwenye mechi nyingi tulizo flop. So kwa maoni yangu sio kwamba haendani na format. More over yuko very flexible pale mbele.

Kumuuza haitakuwa pungufu ya ujinga!
 
Liverpool wanmtaka Timo Werner, Klop ni admirer wa muda mrefu wa Timo Werner, akienda Liverpool atakuwa akifunga 20+ goals na atakuwa threat kubwa kwa Chelsea bora aende AC Milan
Hapana, abaki! Asiende kokote.
 
hata Lampard alituaminisha Rudiger ni mbovu ,ila tuchel akamfanya Rudiger awe mmoja kati ya mabeki wazuri,
Rudiger ndio alikuwa tegemeo la Lampard akiwa na Tomori kabla ya kuja Thiago. Nadhani tatizo la Lampard lilikuwa ni kuwa na mahaba au bifu na mchezaji za kimya kimya. Ila alikuwa ndio Tegemeo la kusimamisha ukuta wa Chelsea kipindi tumepigwa pini. Tatizo hili la Lampard liliwapata pia Pedro na Giroud. So unakosea kusema Lampard aliwahi ku imply kuwa Rudiger mbovu. Unless kama kuna kitu kilinipita somewhere!
 
Kumbuka kwenye format ya TT ni Ziyech aliyekuwa game changer kwenye mechi nyingi tulizo flop. So kwa maoni yangu sio kwamba haendani na format. More over yuko very flexible pale mbele.

Kumuuza haitakuwa pungufu ya ujinga!
Wakati wa Lampard ndio Ziyech alikuwa mzuri akawa anazinguliwa na majeruhi. Kwa TT ameche za mechi chache na pia hakucheza vizuri kama wakati wa Lampard na ndio maana TT amemuweka benchi mara nyingi. Sababu nyingine pia ya kumuuza hayuko Happy, labda apewe game nyingi zaidi ili awe happy
 
Hapana, abaki! Asiende kokote.
Kama tutanunua attacker hata mmoja tu kama Raphina au Dembele, no way lazima tuwaondoe angalau wawili. Kumbuka pia Conor anarudi kutoka kwenye mkopo na yeye ni mzuri sio wa kumuuza. Pulisic kuuzwa haina ubishi, kati ya Werner na Ziyech mimi naona Ziyech abaki Werner.
 
Kwa maono yangu nadhani tunapaswa kuziba gaps. Kule nyuma tunahitaji long term replacement ya Thiago atakapostaafu. Kati Pia tunahitaji successor wa Kante. RLC naona atamrithi Kova vizuri anahitaji some coaching. Huku kwa Alonso pia tunahitaji successor as well as kwa Kipa.

Huku mbele naamini tunahitaji mfungaji. Werner, Ziyech, Mount hawa wote ni wapishi wazuri. Hatuna mlaji. Pulisic ni mzuri ila amekuwa na wenge sana. So kabla hatujamuuza kwanza tujaze nafasi ya Lukaku. Tukipata machine pale usishangae hata Pulisic akabadilika sana.

So IMHO Tuna nafasi za kujaza kadhaa ambazo sioni kwa nini tuuze wachezaji. If we have to, naona Captain America ndio labda auzwe ili tusajili washambuliaji wawili pale mbele. Mabeki wawili na kiungo mmoja. Hao ni wachezaji 5!
 
Wakati wa Lampard ndio Ziyech alikuwa mzuri akawa anazinguliwa na majeruhi. Kwa TT ameche za mechi chache na pia hakucheza vizuri kama wakati wa Lampard na ndio maana TT amemuweka benchi mara nyingi. Sababu nyingine pia ya kumuuza hayuko Happy, labda apewe game nyingi zaidi ili awe happy
I agree. TT kamchezesha mechi chache sana. Na hizo mechi ameonyesha kuipa timu uhai sana.
Kama ningeulizwa ningetamani apewe muda wa kucheza zaidi!
 
Chelsea owner Boehly is exploring options for the new director to replace Marina. One of many candidates is former fullback Maxwell - was already assistant sporting director at PSG. CFC

Boehly has 3/4 options in the list, including Michael Edwards. No decision yet.

[via Fabrizio Romano]
 
Todd Boehly on Petr Cech:

"Petr is an important member of the Chelsea family. We understand his decision to step away and thank him for his contributions as an advisor and his commitment to the club and to our community. We wish him the best."

[ChelseaFC]
 
Petr Cech and Marina wanted to keep Romelu Lukaku at Chelsea and that was an early difference of opinion with Todd Boehly, Boehly wants the coach to be at the heart of transfer decisions like Liverpool.

Nizaar Kinsella - GOAL
 
Todd Boehly will listen to Thomas Tuchel’s ideas this summer. The plan is to reinforce the team and this is being worked on.

Matthijs de Ligt is a priority for the defence, but the Blues are waiting to see if Juventus will extend his contract or not; keep an eye also on Nathan Ake because he is highly rated by Tuchel. As for Sevilla’s Jules Kounde, following the departure of Marina Granovskaia, there have been no new contacts yet, but he has always been on the Chelsea list: Sevilla want €65m fee.

Elsewhere, Man City’s Raheem Sterling is the first choice as a new winger, there will soon be a new proposal at Man City after the personal terms have already been discussed. Boehly is also very attentive to the contractual situations of players like N’Golo Kante, Jorginho and Mason Mount – all of whom are waiting for answers as soon as possible.

Fabrizio Romano - Sky Italia
.
 
Tunazidi kupigwa na kitu kizito tu. Inawezekana kuna kukosa maelewano kati yao ndio maana wote wanaamua kuondoka. Sasa kama hadi Cech anaondoka nani atawapa miiko bora ya Chelsea?

Bruce Buck - Rais
Marina
Cech

Wakuu tunakoelekea mimi naona giza tu
 
Usihofu, ni sehemu ya shakeups kukiwa na umiliki mpya.
Kutakuwa na side effects but itakaa sawa!
 
Usihofu, ni sehemu ya shakeups kukiwa na umiliki mpya.
Kutakuwa na side effects but itakaa sawa!
Mkuu hii ni dalili ya kupoteza dira ya timu. Huyu jamaa nina uhakika anaendeshwa na serikali ya uingeeeza. Usikute kapewa maelekezo washirika wote wa Roman waondoke ili tupoteane tu. Kwanini waondoke wote hawa kwa haraka hivi huyo mbung'o nani anamuongoza?

Hata ile ari ya kuzungumzia usajili ishaanza kunitoka
 
Petr Cech and Marina wanted to keep Romelu Lukaku at Chelsea and that was an early difference of opinion with Todd Boehly, Boehly wants the coach to be at the heart of transfer decisions like Liverpool.

Nizaar Kinsella - GOAL
Boss yupo sahihi kocha apewe nguvu zaidi ya kuchagua yupi wa kuwa nae atakae endana na mifumo yake. Huyu jamaa tuna mlaumu ila ana falsafa anayoiamini na itatusaidi siku zijazo. Japo huu mwanzo hatumuelewi kwa kuwa tunataka vitu vya haraka haraka.
 
Mkuu hii ni dalili ya kupoteza dira ya timu. Huyu jamaa nina uhakika anaendeshwa na serikali ya uingeeeza. Usikute kapewa maelekezo washirika wote wa Roman waondoke ili tupoteane tu. Kwanini waondoke wote hawa kwa haraka hivi huyo mbung'o nani anamuongoza?

Hata ile ari ya kuzungumzia usajili ishaanza kunitoka
Unaona jinsi man utd inavyo pwaya...? Ni.makosa ya kutompa kocha maamlaka ya kuchagua nani amsajili. Sasa boss ashasema anataka timu iwe kama Liverpool kwenye kusajili akiwa na maana kocha aliyepo ndio awe na maamuzi ya kuchagua wachezaji atakaoendana nao kulingana na mfumo wake.
 
Si bado kina rudiger walikuwepo,angekuwepo Roman muda huu Kounde ungekuwa usajir wa kwanza
Hakuna kitu kama hicho cha rudiger sijui alikuwepo, sababu kubwa marina alishindwa kufikia dau ambalo sevilla walikuwa wanalitaka.

Unazikumbuka hizi deal
Alex Sandro
Robinho
Zilikuwaje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom