Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,639
huyu boya tumepigwaa yaani tunakuwa kama arsenal too much tetesi hakuna deal hata moja
Todd Bahili (Boehl) hili jina tu la huyo tajiri mwenyewe linasadifu ni mtu wa aina gani.

Wadau watampandia uko uko Uingereza mashabiki wa kiingereza ni machizi SanaDirisha likifungwa hatujasajili nitaanza kumkosoa Tajiri wacha nisubiri muda upo bado
Sajili zitafanyika wakat wowote toka sasa, kuna mabadiliko ya kiuongozi,Dirisha likifungwa hatujasajili nitaanza kumkosoa Tajiri wacha nisubiri muda upo bado
Mane hajataka kubak englandHivi chelsea hawakumuona mane kama yupo sokoni.?
Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
Aaah hata hao wachezaji wa $100 km unaowataka unaweza ukasajili na wakaflop Tu..m naona Bora approach Yao ya usajili Kwa kuangalia data na si mtu anayewika sokoni na WA bei kubwaKwa huyu tajili masikini tulipigwa nilijua tu wa marikani wako sana with quick profits sio longterm investment.......hapo hawezi kununua mchezaji wa $100m, Chelsea itakua ya kupambania nafasi ya nne Uefa tu.
Bora aisee mungu ametuepusha na hicho kikombe, hata kama angekua fit msimu mzima Dembele ni mchezaji wa kawaida sana. Bora hata tukae na hao tuliokua nao kuliko huyo miyeshusho.Chelsea wanaelekea kuachana na usajili wa Dembele kwa sababu ya majeruhi ya mara kwa mara. Taarifa za ndani zinasema kuwa Chelsea wanahofia akisajiliwa atakuwa muda mwingi kwenye majeruhi.
Tujifunze kwa Pulisic
Source: Transfer News: Chelsea reconsidering Ousmane Dembele move
Decline Rice ni Joginhno wa westhamUkweli ni huu
Tunahitaji hawa wachezaji dirisha hili sio kesho
Jumla ya wachezaji ni 6 au zaidi, msimu huu
- Mfungaji mzuri wa magoli 20+ kwa msimu anayeendana na mfumo wa TT - Sajili Nkunku
- Kiungo mpikaji wa magoli atakayesaidiana na Mount Tukikosa weka Gallagher hapo
- Kiungo mkabaji wa kuwalinga mabeki atakayesaidiana na Kante na Kovacic - Sajili Declan Rice
- Beki wa kulia na kushoto wa kusaidiana na Chilwell na James
- Mabeki wawili wa katikati wa kusaidiana na Silva na Chalobah
Mpeni Todd Boehly huu ujumbe mlio karibu naye
Huu usajir ulikuw wa kichoko sanaHili zigo bora limeondoka View attachment 2268275
ChelwachakatajiCheltako