juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,952
- 5,438
Alicheza mkuu aliingia kama subAlicheza mechi ya mwisho ipi? Kwa sababu hata mazoezi ya pamoja na wenzake hakufanya
Alicheza mkuu aliingia kama subAlicheza mechi ya mwisho ipi? Kwa sababu hata mazoezi ya pamoja na wenzake hakufanya
Sikatai suala la kujipa muda ila shida kauli zake zinatia mashakaMkuu hatwend kuwa kama arsenal, bado naiman na hawa matajiri.
Mda ni jambo zuri sana,
Tusikurupuke kwenye usajil, tusajil kimkakati na si kwa kufata mkumbo,
Je nikiasi gani tumetumia kule mbele ila bado tumestruggle kwenye Epl
Tulikuwa kwenye vikwazo na tim imeuzwa tareh 30/5 huku vilabu vingine vikiwa huru kufanya sajil/kufanya pre-agreement na wachezaj.
Ww inaonekana hukuangalia game ya mwisho na alishaanza mazoezi mda tu na wenzieAlicheza mechi ya mwisho ipi? Kwa sababu hata mazoezi ya pamoja na wenzake hakufanya
Hapa hatuna mlimiliki tumepigwa na kitu kizito hata kama tutakuwa na uvumilivuSikatai suala la kujipa muda ila shida kauli zake zinatia mashaka
Huyu mmiliki masikini hana pesa ya ziada pesa aliotumia ni ya sacco ni ya wa miliki wengi anategemea kuuza baadhi ya wachazaji wa Chelsea ndo anunue wapya, alikingiwa kifua na western media kwasbb ni Marikani ili kugawana mali ya Mrusi, ila Epl bila wachazaji wapya wenye majina huwezi kutoboa hamna cha bahati kama la liga au budasliga ushindani ni mkali pale sio vipaji ila majina.Hapa hatuna mlimiliki tumepigwa na kitu kizito hata kama tutakuwa na uvumilivu
Newcastle wamenunuliwa na matajiri ila skia kauli za Eddie Howe,Sikatai suala la kujipa muda ila shida kauli zake zinatia mashaka
Hua inaanza denial, mpaka uje ufike bargaining na acceptance utakua na hali mbaya sanaHii taarifa sio kweli,

Aliingia dk ya 89 badala ya MountAlicheza mechi ya mwisho ipi? Kwa sababu hata mazoezi ya pamoja na wenzake hakufanya
Tatizo la fans walidhani akija atakuwa kama Abramovich. Style itabadilika, tumhukumu kwa matendo sio style. Wamerakani hata siku moja hawafanyi kazi kama Waarabu au Mafogo wa Kirusi. Liverpool wanawalalamikia sana FSG lakini ona sajili wanazofanya na hawachelewiHapa hatuna mlimiliki tumepigwa na kitu kizito hata kama tutakuwa na uvumilivu
Kiukweli sikuifuatilia. Niliangalia magoli tuWw inaonekana hukuangalia game ya mwisho na alishaanza mazoezi mda tu na wenzie
Hapa sawa. Hizi ni habari njema sikujua kama kafikia hatua hii. Sasa changamoto ni kupata mtu mwingine wa upande wake maana nahisi Emerson nae anania ya kuondokaAliingia dk ya 89 badala ya Mount
View attachment 2265618
Aje atufie uwanjaniKwanini uongozi usimuone Christian Eriksen huyu ni free agent?
Huyu ni top player na anaweza kutusaidia for the next 3 or 4 years to come

#Inter Hawa Inter wana tabia mbaya sana. Yani wamewaibia £100 mil halafu wanataka wawarudishie €7 mil..Work in progress for Romelu Lukaku's comeback to Inter. Talks ongoing with Chelsea on the final loan fee, Inter will improve the opening proposal worth €5m plus €2m in add-ons.#Inter
Next week will be key to speed up talks - as all parties want to find a solution soon. https://t.co/LN65OuzBjN
Huo ni mkopo sio kununua, tuliza projo chini elewa kwanzaHawa Inter wana tabia mbaya sana. Yani wamewaibia £100 mil halafu wanataka wawarudishie €7 mil..
Hawa jamaa ni wahuni sana. Hii ndio maana halisi ya biashara😁.