Masheikh yahya uchwara against Chelsea huwa hawakosekani ...Hapana uliniambia kwamba nitashindana na chelsea and what not basically ukaresort kwenye defensive mode.
Anyway, tuyaache haya. Ni miyeyusho tangu asubuhi tunaongelea swala moja. Sasa ni hivi chelsea imefunga msimu huku ikichechemea, Alonso and the like are leaving, Thom analazimishwa acheze back 4 na hapa kuna mmiliki mpya, hamtosurvive kama unavyofikiria

Negotiation zinaendelea mkuu we usiwe n Shaka ndo Kwanza Leo siku ya 3 tangu dirisha la usajili lifunguliwe ...sanasana sahv zinazungumzwa habari za dembele n koundeChama letu halija sajili tu bado. Mbona kimya tu wakuu lete mpya kutoka sources kubwa kubwa
Ndebele hapana hana tofauti na walio kuepo nsimo ulio pita, tunahitaji sharp shooting machine kubadilisha hizo goal attempts ziwe goli, kwa hiyo kazi dembele bado sana bora yule ya bayern na mancity angalauNegotiation zinaendelea mkuu we usiwe n Shaka ndo Kwanza Leo siku ya 3 tangu dirisha la usajili lifunguliwe ...sanasana sahv zinazungumzwa habari za dembele n kounde
Tukasema hamchomoki kwa liva. More than one final unaipoteza kwa opponent mmojaMasheikh yahya uchwara against Chelsea huwa hawakosekani ...![]()
Mkasema pia Kwa TT hamtafanikiwa mtu kafeli n kina neymar ataweza n kina Timo Werner kweli? .......Tukasema hamchomoki kwa liva. More than one final unaipoteza kwa opponent mmoja
Mkuu dembele Kwa uwezo wake ukiacha injuries naona n tofauti na hawa tuliikuwepo nao...ziyech, Werner mpk pulisic hawawezi kutake on wachezaji km hazard alivyokuwa anafanya pia dembele ni creative ..hawa sanasana kukiwa n mabeki wanawapress wanaishia kupiga backpass ...tukikutana n timu z kupaki bus ndo mambo yanakuwa hvyo at least dembele Mzee n upgrade ya hawa ambao tunao ...Ndebele hapana hana tofauti na walio kuepo nsimo ulio pita, tunahitaji sharp shooting machine kubadilisha hizo goal attempts ziwe goli, kwa hiyo kazi dembele bado sana bora yule ya bayern na mancity angalau
Kupigwa tano na West Bromwich ni mafanikio kumbe?Mkasema pia Kwa TT hamtafanikiwa mtu kafeli n kina neymar ataweza n kina Timo Werner kweli? .......
OK acha tusubirie kinachopikwa naimani kitakua kitamuNegotiation zinaendelea mkuu we usiwe n Shaka ndo Kwanza Leo siku ya 3 tangu dirisha la usajili lifunguliwe ...sanasana sahv zinazungumzwa habari za dembele n kounde
Endelea kujitoa ufahamu hvyohvyo na bado mazuri yanakuja chini ya umiliki mpyaKupigwa tano na West Bromwich ni mafanikio kumbe?
Chelsea hii hii ninayoijua mimi?Endelea kujitoa ufahamu hvyohvyo na bado mazuri yanakuja chini ya umiliki mpya
Shida kubwa ya Chelsea pale mbele ni mfungaji. Watu wengi wanatoa pass za mwisho ila zinakuwa wasted na akina Werner, Herverts, Odoi. Tunahitaji mfungaji wa kuweka wavuni hata magoli 18 Elp hapo ndo utaona umuhimu wa DembeleMkuu dembele Kwa uwezo wake ukiacha injuries naona n tofauti na hawa tuliikuwepo nao...ziyech, Werner mpk pulisic hawawezi kutake on wachezaji km hazard alivyokuwa anafanya pia dembele ni creative ..hawa sanasana kukiwa n mabeki wanawapress wanaishia kupiga backpass ...tukikutana n timu z kupaki bus ndo mambo yanakuwa hvyo at least dembele Mzee n upgrade ya hawa ambao tunao ...
Ikipendeza saana wamlete lewondosk tutapiga goli kama zote. Lukaku asepe tu na warnerShida kubwa ya Chelsea pale mbele ni mfungaji. Watu wengi wanatoa pass za mwisho ila zinakuwa wasted na akina Werner, Herverts, Odoi. Tunahitaji mfungaji wa kuweka wavuni hata magoli 18 Elp hapo ndo utaona umuhimu wa Dembele
Cheki hili kichwa maji mbuzi la arse8 linaandika maaragwe baada ya kushiba makandeMsimu huu unanunua mchezaji kwa 90M msimu unaofuata anatuma mawakili wamsaidie kurudi alipotoka.
Finished club
Mwamba unakuaga uncomment Sana humuIkipendeza saana wamlete lewondosk tutapiga goli kama zote. Lukaku asepe tu na warner
Hauna akili nyingi sana. Ni kupoteza muda kuongea na weweCheki hili kichwa maji mbuzi la arse8 linaandika maaragwe baada ya kushiba makande
Chelsea chama languMwamba unakuaga uncomment Sana humu
Dembele kwa nature ya uchezaji wake sio goal scorer, ni mzuri sana kwenye kujenga mashambulizi na yuko very fast na anajua kutoa krosi nyingi, akicheza na James upande wa kulia sijui itakuwaje. Kama tutamchukua bure itakuwa addition nzuri. Japo kuwa mimi njikiambiwa kumachagua Raphina wa Leeds united au Dembele ningemchagua Raphina japo uchezaji wao ni tofauti sana japo wanacheza kaka wingaNdebele hapana hana tofauti na walio kuepo nsimo ulio pita, tunahitaji sharp shooting machine kubadilisha hizo goal attempts ziwe goli, kwa hiyo kazi dembele bado sana bora yule ya bayern na mancity angalau
Tatizo la msingi la Lukaku ni kutopewa huduma vizuri. Akija Lewandoski pamoja na ufungaji wake, Chelsea atadrop sana. Kama tunahitaji magoli, tumsajili mfungaji na mtoa huduma. Full stop. Mount mzuri lakini aje zaidi yake. Hata akina Havertz, Lukaku utaona ufungaji wao utapandaIkipendeza saana wamlete lewondosk tutapiga goli kama zote. Lukaku asepe tu na warner