Mervin
JF-Expert Member
- Sep 28, 2021
- 1,916
- 2,638
Kwa hiyo alitafutiwa mbadala wake kisa nini kama Tammy alikuwa vizuri.Mbona hii kitu haikutokea kwa Tammy. Wazungu hayo mambo hawnaga
Kwa hiyo alitafutiwa mbadala wake kisa nini kama Tammy alikuwa vizuri.Mbona hii kitu haikutokea kwa Tammy. Wazungu hayo mambo hawnaga
Fanya research yako tena. Then urudiTammy Hana utofauti na Lukaku wakiwa Chelsea Southern Highland
Ni wapi nimesema alikua mzuri?Kwa hiyo alitafutiwa mbadala wake kisa nini kama Tammy alikuwa vizuri.
Shots 35 kwa 9Zilipigwa corner kama mvua lakini wapiii
Eeh mungu tuepushe na huyu dembele. Si aende Ass anal.
unaokota vitu Troll football unaleta hapa.
Huyo anakuja km hupendi ndo imeshatokea...Eeh mungu tuepushe na huyu dembele. Si aende Ass anal.
Jambo.jema saanaBreaking : Thomas Tuchel has been handed full control over player targets and also sales by Todd Boehly in a meeting.
Kwaio unaona hio £125,000 atakayo enda kulipwa huko inter ni ndogo? Hujui biashara wewe, nyinyi mnaweza sajili mchezaji bora halafu hio 125k ndio ikawa mshajara wake kutoka kwenye mshahara wa inter, right now you dont have russian oligarchy!Inter wanamtaka Lukaku lakini sisi tuendelee kumlipia paundi laki 2 kila wiki
Chelsea wakifanya hivyo watakuwa wajinga si abaki atupashie benchi joto tu, ikitokea karabao tunampa azinyanyase hizo timu za league two na one!
Wanataka kutufanya kama Manure walivyofanya kwa Sachez
Chelsea to pay £200k a week for Lukaku to score goals for Inter Milan?
![]()
Chelsea to pay £200k a week for Lukaku to score goals for Inter Milan?
Inter Milan are proposing an Alexis Sanchez deal for Lukaku. Are Chelsea really this desperate to be rid of him?www.football365.com
Naona timu ya wanawake imeshaanz usajiri
Breaking : Thomas Tuchel has been handed full control over player targets and also sales by Todd Boehly in a meeting.