Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,025
- 27,365
Bado haijawa released nadhani walikua wanasubiri haya mambo yaishe kwanza. May be its more soon than later the 22/23 kits will be releasedNaitaji jezi ya chalsea mpya
Bado haijawa released nadhani walikua wanasubiri haya mambo yaishe kwanza. May be its more soon than later the 22/23 kits will be releasedNaitaji jezi ya chalsea mpya
Basi abaki tu huko psg ale bata zakeNeymar Mzee WA kuondoka kambini ikifika birthday ya dada yake[emoji23]
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Huku sio kwa watoto wa kuokotwa mtaani. Huku kwa timu kubwa babe la dunia. Asenyeto unateseka ukiwa wapi.?Msimu huu unanunua mchezaji kwa 90M msimu unaofuata anatuma mawakili wamsaidie kurudi alipotoka.
Finished club
Nadhani Levi Colwill atakuwa kwenye plan ya CB wa akiba main teamSasa kazi iendelee. Tuanze na mabeki kwanza
Finished clubHuku sio kwa watoto wa kuokotwa mtaani. Huku kwa timu kubwa babe la dunia. Asenyeto unateseka ukiwa wapi.?
Yule ni muafrika mwenzetu kutoka Congo so tabia za kia Afrika hata iweje haiwez badilikaHivi Lukaku ilikuwaje akasajiliwa?
Pole. Sisi ndio mabingwa wajao tena wa CL na EPL ila hicho kitimu chako hata top 4 haikatakaa kikanyage miaka zaidi ya 5 mbeleFinished club
Daah huyu dogo yuko vizuri ila kachomesha wenzake mechi ya juzi wameshindwa kupanda daraja. Atakuja kuziba pengo la kina ChristensenNadhani Levi Colwill atakuwa kwenye plan ya CB wa akiba main team
Habari njema hizi. Hawa ma sponser walipoona tumeanza kuwekewa vikwazo wakaanza kujiondoa mdogo mdogo bora waondoke kabisa tupate wengine wa maanaChelsea have officially removed Three UK and Hyundai from their 'Sponsor' section.
Pole. Sisi ndio mabingwa wajao tena wa CL na EPL ila hicho kitimu chako hata top 4 haikatakaa kikanyage miaka zaidi ya 5 mbele
Ni HotspursFinally the Perisic deal has already done to start playing EPL for next season 2022/23 in Tottenharm Hotspot stadium.
Nyie na wale pupils wenu wanaumiza mioyo sanaFinished club