Strikers wote dunian kuanzia mpira wa miguu ilipoanzishwa, usipompa huduma hafai
Kosa sio la Lukaku wala Torres wala Morata wala hao wengine
Strikers waliofanya vizuri wee angalia nani alikuwa nyuma yao kuwapa huduma
Kosa letu tunataka kuwafananisha strikers na winga au viungo washambuliaji
Winga na viungo wao wanajua kucheza mpira na ndio maana wanacheza kwenye hizo nafasi. Strikers wao hawachezi mpira, wanasubiri huduma watumbukize wavuni. Wao by nature hawajui kucheza mpira na sio kazi yao
Ukiona striker anayejua kucheza mpira huyo sio natural namba 9 atakuwa ni kiungo au CAM au kiungo yeyote mshambuliaji
Mfano Kanme anaweza chaza namba 9 akafunga kwa sababu yeye ni winga by nature au CAM
Salah hivyo hivyo
Firmino ni striker mzuri lakini asipopaata huduma huwezi muona akifunga mara kwa mara
Diego Costa alikuja Chelsea akabahatika kukutana na mpishi mzuri anayeitwa Fabregas. Didie Drogba naye enzi yake kacheza vizuri kwa sababu walikuwepo akina Mata, David Luiz, Frank Lampard na Ashley Cole. Wote hao walikuwa wazuri wa kutoa huduma na kuchochea mashambulizi. sio hiki kizazi cha akina alonso, jorginho cha back passes na sideways passes