Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Huna akili mpuuzi wewe. Ujinga ujinga tu umekujaa jitahidi ukue
Kumbe wewe unaona maumivu ukikazwa ehe, siku nyingine comment mada za watu bila matusi. Hata nusu ya umri wangu huwezi kuufikia mbuzi wewe
 
Na hiko ndiyo kinaniuma kwamba we ni mkubwa halafu huna akili
 
Mtahangaika sana
Mtasumbuka sana
Mtapambana sana na Chelsea
Lakini hamtashinda

We are comming with
New owner
New era
New power
New speed
New mentality
New history to be marked with lots of titles and trophies everywhere

Wewe una tabia za kitoto sijui za kike hizi.

Mtu kaleta comment nimeuliza kwa comment ninayojua mimi.

Wewe unakuja na mipasho. Grow up.

Na hiko ndiyo kinaniuma kwamba we ni mkubwa halafu huna akili
Sio lazima ukubaliane na maoni yangu lakini usinitukane, hakuna mwenye hati miliki ya kutukana
Mada zangu nyingi ukikoment mpaka utukane, why? Hata kama ni majigambo ya kishabiki sio lazima utukane bro
 
Sijawahi kukutukana bado. Unachokutana nacho ni mguu wa kushoto unaokuja nao kila siku.

Sasa nilichouliza na mipasho uliyoleta ulitaka nikufanyaje?
 
''New history to be marked with lots of titles and trophies everywhere''

Mkuu pengine hili ndio tusi ulilomtukana ndio maana na yeye akaamua kukujia juu
 
Ulivyosema kwenye nukuu hii

"Wewe una tabia za kitoto sijui za kike hizi."

sio tusi na kama sio matusi hata mimi sijatukana kukuita malaya kwa muktadha huo. Jino kwa jino
 
Kumbe kuna sehemu umeniita malaya? Mi sijaona.

Tabia ya ukifika tu unalalamika unaonewa wivu na watu wanataka kushindana na wewe ni ya kike au ya kitoto.

Nimekupa sifa yako unayostahili
 
Wewe ni malaya kwa sababu unazurura kwenye gheto za wanaume na kanga moja iliyolowa maji unataka kukupe jina gani? si ubaki kule kwenu kama wewe sio malaya
 
Screenshot_20220602-143350.jpg
 
Wewe ni malaya kwa sababu unazurura kwenye gheto za wanaume na kanga moja iliyolowa maji unataka kukupe jina gani? si ubaki kule kwenu kama wewe sio malaya
Umeona ulivyokua huna akili? Kwahiyo unaamini una mamlaka ya kuwapangia watu pa kuingia? Na ulivyo lofa ushasahau kama tunakutana majukwaa mengine. Malaya wewe hujui unazunguka magheto mangapi siyo?
 
Hakuna mtru anakufukuza hapa, ni ushauri tu, kama hutaki uitwe hivyo ukija hapa uwe na heshima na kama huwezi uwe tayari kwa maneno machafu kama unayotoa wewe.
 
''New history to be marked with lots of titles and trophies everywhere''

Mkuu pengine hili ndio tusi ulilomtukana ndio maana na yeye akaamua kukujia juu
Nilicoment hivyo kiroho chake kikamuuma kweli kweli na huo ndio ukweli na wivu ikapanda povu zikamtoka sasa yeye akirudishiwa maneno kama aliyotamka anaona tusi
 
Hakuna mtru anakufukuza hapa, ni ushauri tu, kama hutaki uitwe hivyo ukija hapa uwe na heshima na kama huwezi uwe tayari kwa maneno machafu kama unayotoa wewe.
Kwahiyo mimi kusema Chelsea ndiye mwenye deni kubwa na kuweka ile screenshot ni maneno machafu?
 
Mimi nilikujibuje???
''New history to be marked with lots of titles and trophies everywhere''
Wewe ukanijibuje??
Ukawazalilisha hadi wadada na wanawake wote
Sijutii nilivyokujibu kwa sababu hata wewe hujiheshimu na uheshimu mama zako na dada zako
 
Hapana uliniambia kwamba nitashindana na chelsea and what not basically ukaresort kwenye defensive mode.

Anyway, tuyaache haya. Ni miyeyusho tangu asubuhi tunaongelea swala moja. Sasa ni hivi chelsea imefunga msimu huku ikichechemea, Alonso and the like are leaving, Thom analazimishwa acheze back 4 na hapa kuna mmiliki mpya, hamtosurvive kama unavyofikiria
 
Sijakuambia hivyo, nimetoa general statement ya kishabiki mtashindana sio utashindana, nikamaanisha ninyi nyote arsenal, manure, livakuku wooote mnatabia ya kushindana na Chelsea na wengi wenu mlitaka ife kwa kupitia sanction. Hizo news mnazopost huku kwetu ni kiashiria tosha cha kuitaklia Chelsea mabaya and my respond was a perfect "fit and fix" kwa madongo yenu. Sasa kushindana ni tusi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom