Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wewe ufatilii mpira vizuri Thiago silva aliokoa ule mpira sarr akamrudiahia yule striker wa Arsenal akafunga Mwamba hakuna goal aliyofungisha Thiago silva ebu nenda youtube kaangalie Hilo goal la nne utaona
Katika mpira timu inatakiwa kufaidika na makosa ya mpinzani.

Kuanzia beki aliyerudisha mpira nyuma, wale waliojigonga gonga, aliyemkumbatia Saka na huyo aliyeshindwa kuokoa hayo yote ni makosa ambayo mpinzani anayatumia kufaidika nayo.

Kama wachezaji wenu hawakujua hilo hapo sitakua na cha kusema.
 
Rudiger alikuwa ndie injini na petroli iliyofanya Chelsea ipande kiwango. Unamuona dhahiri usoni anavyoumia timu ikipoteza. Utamuona pia uwanjani anavyocheza kizalendo kabisa. Sasa anaondoka na kule nyuma yatabaki matakataka ukimuondoa Silva ambaye career yake iko ukingoni sio wa kumtegemea na wakati wowote tusiotegemea umeme unaweza kata kabisa kwa Silva.
So what next, hata tukimleta Kounde hataziba pengo la Rudiger, what ana aggressive defender.

Hivi akina Marina watamsajili nani au ndio Chalobah na Sarr ndio CB wa kutegemewe?
Utashangaa sana TT akianza kumtumia Cheek kwenye CB akishirikiana na Sarr na Chalobah
Aliondoka Hazard aliyekuwa ameiweka Chelsea mabegani,,Na dunia nzima ikatusikitikia sembuse rudiger aliyeumbwa na Tuchel mwenyewe? Enzi za Lampard alikuwa wakawaida sana,baada ya ujio wa TT ndo ameng'aa...kwa hiyo watapatikana tu wazuri kumzidi
 
Natamani nyumbu washinde ila siwaamini. Cheltako anatakiwa azuiwe kwa gharama yeyote
Tukishinda leo tutahitaji sare moja tu ili nafasi ya tatu mubaki munaisikia. Unasikia Kenge wewe?
 
Mr Abramovich's desire is to see a total of £2.5bn donated to charity, with a further £1bn-£1.5bn going to Chelsea in the form of investment in its stadium, academy and women's team. That would ensure a total financial commitment from Chelsea's next owners of £3.5-£4bn
 
Mr Abramovich's desire is to see a total of £2.5bn donated to charity, with a further £1bn-£1.5bn going to Chelsea in the form of investment in its stadium, academy and women's team. That would ensure a total financial commitment from Chelsea's next owners of £3.5-£4bn
Elon Musk si angenunua tuu Chelsea
 
Kosi
20220428_204822.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom