Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

N msimu uliopita walimaliza nafasi ya ngapi?
Sina uhakika.

Lakini unakumbuka walichukua europa? So pengine wamepitia mlango wa nyuma.

Kingine, timu inahitaji consistency ya performance kwa emery haikua guaranteed na alishindwa utilize kikosi alichonacho.
 
Sina uhakika.

Lakini unakumbuka walichukua europa? So pengine wamepitia mlango wa nyuma.

Kingine, timu inahitaji consistency ya performance kwa emery haikua guaranteed na alishindwa utilize kikosi alichonacho.
Unai alitaka aletewe zaha nyie mkamleta Pepe unategemea nn sasa
 
Unai alitaka aletewe zaha nyie mkamleta Pepe unategemea nn sasa
Zaha hawezi kuja Arsenal. Ninachokumbuka Unai hakusema anamtaka Zaha ila Zaha ndiye alitoka public na kusema anaitaka Arsenal.

All in all Arsenal is happy and Emery is happy so imework out for both sides
 
TT aeleza kwa nini alimuacha Reece James dhidi ya Wetsham

Thomas Tuchel has confirmed Reece James was left out of their 1-0 win against West Ham on Sunday as a precaution.
 
Tatizo kubwa la Jorginho tangu aje Chelsea ni
  1. Consistency - Leo anaweza akacheza vizuri mechi inayofuata akapotea uwanjani
  2. Stamina - Pamoja na uwezo wake mkubwa wa kumanage namna timu inavyocheza kwa pasi zake fupi fupi pale katikati na za haraka lakini bado jorginho amekuwa ni liability kwa timu hasa Chelsea ikikutana na oponent anayepress high
  3. Jorgninho anachoka haraka na kubaki kuwa muangaliaji wa mpira badala ya mchezaji tofauti na mtazamaji, yeye anatazama akiwa ktk ya uwanja
 
Siku hizi takataka za arse8 zimepata kiburi Cha kuja huku.
Kisheria Arsenal hawakutakiwa kuja huku kwetu, ni uhalifu wa sport au sports crime Arsenal Fan kuja kwenye uzi wa Man city, Liverpool au Chelsea. Kama wakija wanatakiwa kuja kutoa shikamoo na pongezi zingine halafu wanarudi jikoni kama house maid
Ni kwa sababu haya majukwaa yako ndani ya kompyuta. Yangekuwa ni majengo ambapo mashabiki wanakutanika kujadili mambo ya timu zao live halafu mara unamuona shabiki wa Arsenal anaingia tena akiwa amevaa kanga moja bila nguo zingine unadhani angefanywaje
 
Rudiger alikuwa ndie injini na petroli iliyofanya Chelsea ipande kiwango. Unamuona dhahiri usoni anavyoumia timu ikipoteza. Utamuona pia uwanjani anavyocheza kizalendo kabisa. Sasa anaondoka na kule nyuma yatabaki matakataka ukimuondoa Silva ambaye career yake iko ukingoni sio wa kumtegemea na wakati wowote tusiotegemea umeme unaweza kata kabisa kwa Silva.
So what next, hata tukimleta Kounde hataziba pengo la Rudiger, what ana aggressive defender.

Hivi akina Marina watamsajili nani au ndio Chalobah na Sarr ndio CB wa kutegemewe?
Utashangaa sana TT akianza kumtumia Cheek kwenye CB akishirikiana na Sarr na Chalobah
 
Zaha hawezi kuja Arsenal. Ninachokumbuka Unai hakusema anamtaka Zaha ila Zaha ndiye alitoka public na kusema anaitaka Arsenal.

All in all Arsenal is happy and Emery is happy so imework out for both sides
Unai alisema ..zipo quotation kwenye internet
 
Captain Cesar Azpilicueta ni mchezaji pekee katika historia ya Chelsea kubeba kila aina ya vikombe vikubwa katika miaka yake 10 akiichezea Chelsea

Makombe yenyewe ni 11
  1. LEAGUE TITLES - 2 MWAK WA 2015, 2017
  2. UEFA CHAMPIONS LEAGUE - 2 MWAK WA 2012, 2021
  3. FIFA CLUB WORLD CUP - 1 MWAK WA 2021
  4. UEFA EUROPA LEAGUE - 2 MWAK WA 2013, 2019
  5. FA CUP - 2 MWAK WA 2012, 2018
  6. LEAGUE CUP - 1 MWAK WA 2015
  7. UEFA SUPER CUP - 1 MWAK WA 2021
 
Unai alimtaka Zaha, Uongozi ukamtaka Pepe, biashara ikaishia hapo. Hii ya Zaha kuomba kusajiliwa ni uongo hata kama kuna video elfu moja Youtube. Zaha ana manager wake na washauri hawezi kujiuza kama nyanya mbichi hivyo. Inaweza kuwa hizo video ziko edited na baadhi ya maneno yake kuondolewa ili editor atimize matakwa yake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom