Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sio woga, Kwa Arsenal tulihope tutashinda tena nyumbani tulifanywaje?
Brentford tulitegemea poinbt tatu tulifanywaje?
Acheni uoga wenu nyumbu hawapo vizuri this time...kuna sintofahamu kwenye dressing room ukiachilia mbali na kukosekana Kwa baadhi ya wachezaji wao km luke Shaw, Sancho, Fred, cavani, pogba,
 
Wewe huijui Chelsea, inafungwa kirahisi na timu ambazo haziko kwenye form
 
Sikumbuki mara ya mwisho ilikuwa lini tulipata ushindi pale OT mara nyingi tunapata sare
Tulishinda 1-0 tarehe 5 May 2013
Mechi zingine 6 tulifungwa na 6 zingine droo
Rekodi yote thidi ya Nyumbu
Tumeshinda 55, droo 54 kufungwa 81
 
Wewe huijui Chelsea, inafungwa kirahisi na timu ambazo haziko kwenye form
Sasa kama unaijua Chelsea vzuri Mbona uliwatambia nyumbu kwenye nyuzi zao soon baada ya kupigwa na arsenal siku ya jmoc[emoji23].....hii game Chelsea win or draw
 
Sio woga, Kwa Arsenal tulihope tutashinda tena nyumbani tulifanywaje?
Brentford tulitegemea poinbt tatu tulifanywaje?
Chelsea kwa sasa hivi squad imekaa kiujanja ujanja, key players hawapo, wapo wale mabitozi. No Kova, No Tony, no RJ unategemea nani kati ya hao waliobaki watakuwa serious
Chalobah?
Sarr?
Angalau kule mbele Mount anakuwaga serious, wengine wote wakamilisha tu zamu zao za kuwa uwanjani. Unawaona hata usoni hawana haraka wala harakati za kutafuta ushindi labda siku hiyo waamke vizuri
Mzee wewe hata timu yako huifuatilii vizuri. Mimi sio shabiki wa Blues lakini nafuatilia.

Tuchel anasema Rüdiger na James wote walihudhuria mazoezi ya timu jana na kuna uwezekano mkubwa wakawepo kwenye game ya kesho.

Hata hivyo sioni wasiwasi wako unatokea wapi.. maana Man Utd ni mbovu kuliko timu nyengine yeyote kwenye EPL msimu huu.
Na Nyumbu wanaiendea hii mechi wakiwakosa wachezaji wao kama Sancho, Pogba, Wan Bissaka, Shaw na Maguire.

Sasa kweli beki ya Varane itawasumbua kweli? Au Ronaldo kishipa ni wakusumbua ulinzi wa Toni na T. Silva?
 
Wewe huijui Chelsea, inafungwa kirahisi na timu ambazo haziko kwenye form
Ila kwa hii game dhidi ya Man u naamini Chelsea itashinda watakuwa wamejifunza kupitia matokeo ya Arsenal siamini hicho ulichokizungumza kitatokea
 
hakuna cha kujifunza. United ni dhaifu zaidi tangu tuwanyonge. Hawana confidence. Hawana umoja. Hawamuelewi mwalimu. Wapo wapo tu na mnawapiga bila shaka
 
Shida ya Chelsea kuna game wanakuwa na dharau nazo especially kwa team zilizokuwa zinapata matokeo mabovu mfano mzuri game ya Brendford wachezaji walicheza kama vile wanalazimishwa kucheza, angalia dhidi yenu makosa yalikuwa ni mengi kama vile Chelsea ni team ya ndondo cup kutokana na upuuzi huu ndiomaana mashabiki wanakuwa na wasiwasi hawajui itaingia Chelsea ya namna gani? lakini kama tukacheza kwa ubora wetu bila makandokando Chelsea anamfunga Tena kwa kumnyanyasa man u
 
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha.[emoji16][emoji16]

Nyie tuna chinja leo nyie ni wakwetu.
IMG_20210930_113806.jpg
 
Natamani nyumbu washinde ila siwaamini. Cheltako anatakiwa azuiwe kwa gharama yeyote
 
Shida ya Chelsea kuna game wanakuwa na dharau nazo especially kwa team zilizokuwa zinapata matokeo mabovu mfano mzuri game ya Brendford wachezaji walicheza kama vile wanalazimishwa kucheza, angalia dhidi yenu makosa yalikuwa ni mengi kama vile Chelsea ni team ya ndondo cup kutokana na upuuzi huu ndiomaana mashabiki wanakuwa na wasiwasi hawajui itaingia Chelsea ya namna gani? lakini kama tukacheza kwa ubora wetu bila makandokando Chelsea anamfunga Tena kwa kumnyanyasa man u
Huu mtazamo wa kudai ukifungwa unakua haupo kwenye kiwango chako basi kila timu itatumia hicho kisingizio.
 
Kuna mambo unaona kabisa wazi mpira ni mchezo wa wazi sio wachumbani wachezaji unaona kabisa hawajitumi hivi Chelsea ilivyocheza na Liverpool kwenye fainali ya carabao au pale darajani au anifield na game ya Madrid pale beunabeu Unaweza kufananisha na alivyocheza dhidi ya Arsenal na Brendford?
 
Sawa.

Arsenal iliyofungwa na Chelsea mzunguko wa kwanza unaifananisha na iliyocheza na Chelsea mzunguko wa pili?
 
Ile game ulizidiwa kila kitu hata ungekuwa kama ulivyonifunga ningekufunga tu Chelsea ilicheza kwenye ubora wa juu hata hii game yenyewe ulionifunga sio kwa sababu ulikuwa Bora sema Chelsea ilifanya makosa mengi Sana na hiyo ilisababishwa na kucheza yule mpuuzi sarr kafungisha magoal matatu hivi unazani angeanza Thiago silva na angecheza Rudiger unafikiri kungekuwa na magoal ya bure?
 
Thiago aliingia na goli la nne likapatikana.

Rudiger anaondoka.

Unataka kusema ndiyo mtaanza kufungwa kila siku?
 
Wewe ufatilii mpira vizuri Thiago silva aliokoa ule mpira sarr akamrudiahia yule striker wa Arsenal akafunga Mwamba hakuna goal aliyofungisha Thiago silva ebu nenda youtube kaangalie Hilo goal la nne utaona
 
Twitter imeuzwa USD bilion 45 ndani ya wiki kwa Elon Musk
Chelsea ya USD bilioni 4 imechukua muda gani jamani???
Kumbuka hata club ya Newcastle ilivyochukua muda kuuzwa na hapo alikua mnunuzi mmoja. Sisi wapo wanne tutegemee itachukua muda zaidi tunavyodhani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom