Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,937
- 27,199
KTBFFH








Hongera mkuu I hope utasherekea vizuriCome On the Bluees..
Hebu nifurahisheni basi leo nasherehekea kumbukizi ya siku ya siku ya kuzaliwa kwangu. Nategemea nitaimaliza siku vizuri
Nategemea hivyo. Ila kinachoendelea hakinifurahishi tunakosa ukatili goliniHongera mkuu I hope utasherekea vizuri
Tungekuwa tunaongoza tatu hapo tumsubiri mpaka Pulisic na Ziyech nazani kutachamka kule mbeleNategemea hivyo. Ila kinachoendelea hakinifurahishi tunakosa ukatili golini
Enzi za Lampard Rudiger ndie alikuwa anategemewa kusuka ukuta kama senior. Ukweli ni kuwa kama akiondoka mchezaji jua atakuja mchezaji. Ndio mpira ulivyo.Aliondoka Hazard aliyekuwa ameiweka Chelsea mabegani,,Na dunia nzima ikatusikitikia sembuse rudiger aliyeumbwa na Tuchel mwenyewe? Enzi za Lampard alikuwa wakawaida sana,baada ya ujio wa TT ndo ameng'aa...kwa hiyo watapatikana tu wazuri kumzidi
Siku ile kocha alipanga timu kama anaenda kucheza na Abajalo!Arsenal mlitubahatisha angekuepo Silva pale na Rudiger hampati goli