[emoji117] Kufungwa juzi inaonyesha jinsi gani THE BLUES tunakikosi dhaifu ambacho bado hakina ubora/nguvu/ushindani wa kubeba kombe EPL mbele ya Liverpool na CITY.
[emoji117] Kufungwa juzi inaonyesha jinsi gani tuna wachezaji wenye viwango duni ambao hawafai hata kuwa SUB wala rotation.
[emoji117] Tunahitaji kuboresha kikosi chetu haswa, sajili za kimkakati na zenye ubora la sivyo tusitegemee kubeba EPL kwa kutegemea BAHATI.
[emoji117] Yule Malang SARR anacheza kama linyani linaruka ruka kwenye miti huko porini.