Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

#Chelsea's last contract offer to Antonio Rudiger was worth £230,000-a-week.

[via @SJohnsonSport]
Kwamba rudiger kakataa huuu mkwanja,itakuwa uongo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na yeye anataka £400k Nini ,Sasa timu gani itampa
 
Kwamba rudiger kakataa huuu mkwanja,itakuwa uongo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na yeye anataka £400k Nini ,Sasa timu gani itampa
Source zinasema agent wake tena alitaka 10M
Tho inasemekana mshahara ambao madrid watampa ni 280-300K
 
SAUL ni kituko
Yote haya kayataka marina,

Marina akiendelea kuhusika kwenye usajil tutegemee sajili za hivyo zisizoendana na matakwa ya kocha
Tunaonekana tunatumia pesa ila tunatumia katika wachezaj ambao sio

Tuwaangalie soriano na txiki bargasten kazi wanayofanya city, wanatumia pesa kwa wachezaj sahihi wanaondana na style ya kocha. Same to Michael edward

Wakat guardiola anakuja alisafisha takataka zote same to klopp na kujenga tim zao wanazohisi ni sahihi, ila sisi kwetu bado tunakomaa na kuwabakisha wakina alonso,barkley, huku tukiwaongeza wakina sarr n saul
 
Arsenal lost 3 PL games on a bounce, beats Chelsea and revives their form. Man United losing 2 PL games on a bounce

FT: Man United 4-1 Chelsea.

Kama kawaida unaweza kutuita CHARITY FC
 
Arsenal lost 3 PL games on a bounce, beats Chelsea and revives their form. Man United losing 2 PL games on a bounce

FT: Man United 4-1 Chelsea.

Kama kawaida unaweza kutuita CHARITY FC
Its's a chelsea thing

Unakuta rashford,anatutungua yani hii tim kuna mda inaudhunisha tena sana
 
#Chelsea's last contract offer to Antonio Rudiger was worth £230,000-a-week.

[via @SJohnsonSport]

Kama Rudiger kakataa any figure arround 200,000 a week atakuwa kakosea tena sana
Possible kwa sababu ya takeover na Chelsea hairuhusiwi tena kujadili mikataba
 
Source zinasema agent wake tena alitaka 10M
Tho inasemekana mshahara ambao madrid watampa ni 280-300K
Rudiger kwa umri aliokua nao hili ndo deal lake kubwa la mwisho yeye na Agent wake hawawez kufanya makosa
 
Arse8 Wana point 60 naa michezo 33 played.
Chelsea tuna point 62 na michezo 31 played.
Manure Sasa😂😂😂 point 54 nafasi ya SITA uko na michezo 34 played.
Man shitye point 80 na michezo 33 played.
Liverkuku point 76 na michezo 32 played.

Sisi bado tuna nafasi ya kuitetea nafasi yetu ya tatu.
#CFC💙💙💙
 
20220424_132630.jpg

Wanawake U16 wamempasua Man City
 
Hary Kane ni mchezaji wa ajabu
Ni bahati yake mbaya tu anaichezea timi ndogo isiyo na uwezo wa kubeba makombe.
Anacheza namba zote uwanjani. Hata ugolie anaweza huyu akawazidi makipa wengi wa EPL.
Namsikitia umei na career yake inaishia Spurs timu aliyojitahidi kutoa yote kwake bila mafanikio makubwa kama ilivyostahili

Katika forward wakubwa watatu kwa sasa EPL nadhani ni yeye, Salah na mwenzake Son
 
Hana akili wacha astaafu empty hands
 
Angekuwa city saizi angekuwa anapaa na ndege kwenda Madrid kutazamwa na dunia nzima CL [emoji1787][emoji1787][emoji1787]mwenzake walker alishtuka mapema akaja chamani
 
Chalobah is back. Tuchel kaishiwa options kabisa
Cheek anacheza wingback. James kapatwa na nini?
 
Naona kama Westham wana strong team kuliko sisi. Tuombe akili yao iwe kwenye nusu fainali yao ya europa alhamisi ijayo
 
View attachment 2198745

MMILIKI MPYA, THE BLUES MPYA.

Rudger - Ameamua kuondoka
Lukaku - OUT
Christensen - OUT
Sarr - OUT
Pulisic - OUT
Jognho - OUT
Barkely - OUT
Azpilicueta - OUT
Saul - OUT
Alonso - OUT
Huwezi kuwaondoa wachezaji wote hao kwa wakati mmoja. Amini nakwambia hapo wanaweza kuondoka 2-3 ukitoa Chris ambaye anaenda Barca na Rudiger ambaye ataondoka.

Kuna tetesi nilisoma Azpi anaweza akapewa mwaka mmoja na mpaka sasa sioni sababu za kusema Jorginho auzwe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom