Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Vs West ham

-------- WERNER ------ KAI ------ MOUNT ---------

ALONSO --- KANTE ---- JOGHNHO -- CHEEK

----- AZPILICUETA --- SILVA ---- JAMES --------

[emoji117] Christensen:- Atumie muda huu kwenda kutafuta nyumba ya kuishi Barcelona

[emoji117] Lukaku:- Atumie muda huu kuongea na wakala wake juu ya kuondoka the blues.

[emoji117] Sarr:- Abaki kwenye uwanja wa mazoezi afyeke nyasi na kurukaruka kwenye miti kama nyani
Kwa mechi ya juzi Lukaku kwishinei
Labda kama atakuwepo msimu ujao acheze mechi za karabao na akina Sarr mechi za mwanzoni na vitimu vya league one and two
 
Siku hizi hii timu inacheza bila hata malengo ,wachezaji hawajui wanapigania Nini ndio maana mnapanuliwa Hadi na arsenal ....bado man u anakuja Tena kupanua yaani ni mwendo wa kupanuliwa mpaka mtajikuta mko nje ya top four .....!

PANUA FC
 
We jamaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ETI panua fc
 
Rudiger n Kovacic hawatokuwepo j2 dhid ya west ham.

Kiungo chetu bila kovacic huwa hakuna jipya, ni vile tu kovacic haimbwi ila ni mchezaj muhim kwenye mid yetu.

Kesho tunacheza bila rudi so tutegemee kuona Sarr/Christensen wakiwa na Thiago au wakiwa azp chriatensen n thiago
Mi kikosi kikishakua na kova tu nakua nauhakika wa kushinda, ndio mana hata mechi ya marudiano na madrid nilikua nauhakika tunaenda kushinda si chini ya goli moja.

Game zinazofata labda mungu awe upande wetu.Pia fainali na liva kama hatokwepo, tunaenda kupoteza tena si chini ya goli mbili.
 
Kova anarudi tarehe 7 mei na rudiger 27 aprili
Hope hawatahitaji fitness ya muda mrefu
Mechi na Wolves wote watakuwepo
Mechi na Manure hopefully Rudiger atakuwa fit
 
Jana supper sports walimuonyesha Lewis Hamilton alivyo shabiki Arsenal ila hivi karibuni baada ya kutangaza nia ya kununua shares za Chelsea, Hamilton kadai yeye kalazimishwa na dada yake kushabikia Arsenal

As Hamilton confirmed his interest in being part of a bid trying to buy Chelsea, he was at pains to explain he was ‘forced’ to support Arsenal by his sister who used to punch him on the arm, telling him he had to support Arsenal.
 
Kuna yule anaitwa Lewis hall Bonge la mchezaji anatumia akili, mtulivu na ana ball control nzuri na anajua kukaba lakini Cha ajabu kocha anamn'gan'gania tu sarr hapa ndio nashindwa kumuelewa TT
Lewis 17
Sarr 23
Makocha wengi wanawaogopa academy kwa sababu ya decision making bado sio stable, leo kacheza vizuri sana kesho kaboronga kweli kweli
But kwa case ya Sarr ni bora kubet kwa Lewis
 
Lewis 17
Sarr 23
Makocha wengi wanawaogopa academy kwa sababu ya decision making bado sio stable, leo kacheza vizuri sana kesho kaboronga kweli kweli
But kwa case ya Sarr ni bora kubet kwa Lewis
Ile game aliyopewa nafasi ya FA dogo kwenye decision making alikuwa vizuri alitoa assist kwa Lukaku pia alipiga shots mbili on target na kwenye kukaba akawa vizuri kea namna alivyoonekana unajua huyu ni mchezaji nzuri ni kama yula lamptey tuliomuuza kwenye brighton una shangaa mtu kama huyu kwatakataka ya ule upande sarr na alonso wanaocheza inashindwaje kumuamini
 
Angeenda Westham au Watford kungemfit sana Dirisha dogo la January hizo timu zilimuhitaji nafikiri kwa sababu ya tatizo la Chilwell, TT akambakiza

West Ham eye Malang Sarr
Five high-profile clubs are reportedly keen to sign Malang Sarr this January, including West Ham United and Watford.
 
LEWIS HALL
Ningependa Lewis acheze kiungo kwa sababu ni mzuri sana kwenye kuanzisha goal build up kama viungo wa Liverpool
Pass zake zinaweza kufikia za Fabregas anapozidi kucheza. Kuprove hii, debut yake alimpa Lukaku assist tulipocheza na Chesterfield na p[ia kwenye hiyo mechi alipewa MOTM
1650710523468.png
 
Wataachaje kupata injury wakati hawana mbadala wa kueleweka.

RUDGER amecheza mechi kibao bila kupumzika

KOVACIC tangu atoke injury hajapumzika vizuri

MOUNT tangu atoke injury ni panga pangua

JAMES hajapona vizuri anacheza na maumivu soon atarudi Hosptal

KANTE anacheza kwa uchovu mkubwa sana, anajilazimisha kucheza soon atapata injury

Kiufupi THE BLUES tuna kikosi kidogo sana, wachezaji wa 1st eleven hawana mbadala

Benchi limejaa wachezaji wa kawaida sana.

Refa akinyoosha juu kibao cha SUB upande wetu anayeingia ni takataka kwenda kujaza namba tuu uwanjani ili mradi tuonekane tumefanya SUB

Angalia SUB za Man city na Liverpool halafu linganisha na SUB za kwetu ni kichekesho

Tuombe Mungu SILVA asiumie kwa maana tutatoa mlio kama Nokia ya tochi
Tulikoseq sana summer kutofanya sajil ya hakim n tchoumen, marina ni jipu

Saul anakul mshahara wa bure, huku akishindwa kumpa mkatab rudiger
 
Jana supper sports walimuonyesha Lewis Hamilton alivyo shabiki Arsenal ila hivi karibuni baada ya kutangaza nia ya kununua shares za Chelsea, Hamilton kadai yeye kalazimishwa na dada yake kushabikia Arsenal

As Hamilton confirmed his interest in being part of a bid trying to buy Chelsea, he was at pains to explain he was ‘forced’ to support Arsenal by his sister who used to punch him on the arm, telling him he had to support Arsenal.
Hii consortium ya broughton imekaa kimchongo sana
 
Ile game aliyopewa nafasi ya FA dogo kwenye decision making alikuwa vizuri alitoa assist kwa Lukaku pia alipiga shots mbili on target na kwenye kukaba akawa vizuri kea namna alivyoonekana unajua huyu ni mchezaji nzuri ni kama yula lamptey tuliomuuza kwenye brighton una shangaa mtu kama huyu kwatakataka ya ule upande sarr na alonso wanaocheza inashindwaje kumuamini
Lamptey alikataa kuongeza mkataba same to livramento

Ila hawa wakina alonso,sarr hawa hawapaswi kuwepo msimu ujao ni heri kuwapa madogo wa academy nafasi kuliko hao

Alonso wa sasa sio yule wazaman
 
Lamptey alikataa kuongeza mkataba same to livramento

Ila hawa wakina alonso,sarr hawa hawapaswi kuwepo msimu ujao ni heri kuwapa madogo wa academy nafasi kuliko hao

Alonso wa sasa sio yule wazaman
Alikataa kuongezewa mkataba kwasababu alikuwa apewi nafasi kama wangemuhakikishia nafasi angesaini mkataba
 
LEWIS HALL
Ningependa Lewis acheze kiungo kwa sababu ni mzuri sana kwenye kuanzisha goal build up kama viungo wa Liverpool
Pass zake zinaweza kufikia za Fabregas anapozidi kucheza. Kuprove hii, debut yake alimpa Lukaku assist tulipocheza na Chesterfield na p[ia kwenye hiyo mechi alipewa MOTM
View attachment 2197567
By nature Jamaa ni midfielder lakini alipangwa nafasi ya wingback ni kwasababu hiyo nafasi kuna vilaza wengi na ndio nafasi ambayo ipo wazi na ndio ina mapungufu na Jamaa kaitendea haki, hiyo nafasi unayotaka acheze ina watu kwahiyo hawezi kupata hiyo nafasi kabisa
 
Rudiger has decided to leave Chelsea, and will make a decision on where he will go next week.

{The Athletic}
 
Wakati tunamsajili SARR nilishangaa sana usajili wake, tunamsajili mchezaji kwa ada ya BURE (Free Transfer) kutoka Nice halafu ana umri mdogo.

Nikajiuliza kwanini Nice wanamuachia dogo bure, wasimuongeze mkataba wazidi kumfaidi na baadae kumuuza kwa bei juu.

Nikasema labda dogo amegomea kusign mkataba mpya Nice ana kipaji kikubwa anataka kucheza timu kubwa.

Kumbe vya bure vinaua, tumesajili mnyama wa porini anaruka ruka kwenye matawi. Nice watakuwa walitushangaa sana.
Duh mnyama wa porini? Aisee,mchezaji wako unamwita mnyama wa porini?aka kima au nyani[emoji850][emoji850][emoji850]aisee NGOJA NIPITE HIVI,MAANA YA JIRANI HAYANIHUSU
 
#Chelsea's last contract offer to Antonio Rudiger was worth £230,000-a-week.

[via @SJohnsonSport]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom