Kacheza vizuri kwasababu hakupata kashikashi za hapa na paleChris kacheza vzuri sana leo na amefanya tucheze high line kwasababu ya speed aliokua nayo
Kwasasa Thiago apumzike kwanza
Kacheza vizuri kwasababu hakupata kashikashi za hapa na paleChris kacheza vzuri sana leo na amefanya tucheze high line kwasababu ya speed aliokua nayo
Kwasasa Thiago apumzike kwanza
Mount alikuwa kashapoteza stamina ila akajitahidi hivyo hivyo kushoot mpira nimependa kwenye Hili ameonesha ukomavu mkubwa Sana for me huyu ndio mchezaji Bora wa club kwa msimu Huu anatakwimu nzuri SanaMOUNT 2nd goal View attachment 2191136
Leo umeongea kimpiraLiverpool isipobebwa Tena naona akichapika mchana kweupe kabisa ....kwanza hata carabao mliwawin kila kitu .....!
Kwani carabao ilikuwaje si tuliwazidi katikati ya uwanja dimba lilikamatwa vizuri na Kante pamoja na KovacicHao wakikutana na Keita, Fabinho na Thiago wanakuwa kama paka walionyeshewa.
Yes mlituzidi na mkachukua kombe. CongratulationsKwani carabao ilikuwaje si tuliwazidi katikati ya uwanja Simba lilikamatwa vizuri na Kante pamoja na Kovacic
Nyinyi hamuwezi kutufunga bila kuwepo kwa figisu figisuYes mlituzidi na mkachukua kombe. Congratulations
Yaani hadi CB kachezeshwaJamaa ni mzuri sema shida TT anampanga kwenye number ambayo sio ya kuonesha ubora wake namaanisha no 6 RLC ili umfaidi acheze no 10 hapa utamuona kwa ubora mkubwa Sana hata leo ukiangalia Jorginho alistick kwenye 6 ila jamaa anapanda mbele hata alivyoingia Kante ilikuwa hivyo hivyo Jamaa akienda mbele anasababisha madhara Sana na ndio maana leo kaperform vizuri.
Ila mkabebwa mkachukua kombe, congratulationsYes mlituzidi na mkachukua kombe. Congratulations
Ulitaka nilelewe na mama yako,fa.la nini? embu ka.filwe kwanza utulie mana naona unawashwa.Ndo madhara ya kulelewa na dada hayo,Unazitaja sehemu zao free tu kwa kuwa ulikuwa unaoga nao
Siku zote anabebwa anaebebeka. Asiebebeka anaachwaIla mkabebwa mkachukua kombe, congratulations
Loftus cheek anakipaji sema tu injury aliyopata wakat ule kwa babi sarri ndio iliyomkwamisha,Naomba nitoe ya moyoni, kwa style anayocheza Cheek ndie kwa sasa mchezaji pekee anayeweza kupeleka mipira kwa wafungaji kwa sababu ana uwezo mkubwa wa kufanya dribling together with Kovacic
Kwenye league hiyo ndio 18
Pia kitendo cha TT Cha kumuweka RLC nafasi ya no 6 kinapunguza ubora wake jamaa ni mzuri Sana akiwa anacheza no 10 au nafasi yoyote ya mbele hapo ndio anakuwa ubora kumchezesha no 6 ni kumpotezea muda wakeLoftus cheek anakipaji sema tu injury aliyopata wakat ule kwa babi sarri ndio iliyomkwamisha,
Hata Tuchel hilo ameliona kama unafatilia interview za tuchel kuanzia game ya soton,madrid na jana ni kama loftus cheek anaficha uwezo wake kwenye mechi + kama hajiamini kama anavyofanya akiwa mazoezin
Chelsea amekalia ukuni lini?Kashakaa 5 bila
Wewe ushakalia ukini
Chelsea kashakalia ukuni
Sasa nani atabonga mbele ya Liverpool?