Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mbona Mnalazimisha furaha...sasa mtu shabiki wa soka hiyo nayo ndo point ya kujivunia kweli.[emoji1787].. Ile game tunajua iliisha 0-0 DKK 120 ikaamuliwa itumiwe njia ya penalties ili kumpata mshindi
Na mshindi akapatikana? Kweli tunalazimisha furaha, nyie msiolazimisha furaha mpo wapi?
 
Uefa super cup
Chelsea vs Liverpool (Liverpool kashinda kwa penalt kachukua kombe)
Carabao cup final
Chelsea vs Liverpool (Liverpool kashinda kwa penalt kachukua kombe)

Bado Chelsea wanapeana moyo kuwa wanaenda kubeba FA cup mbele ya Liverpool wakati recently katika mechi za kuchukua vikombe walizokutana na Liverpool zote kapigwa.
 
Liverpool isipobebwa Tena naona akichapika mchana kweupe kabisa ....kwanza hata carabao mliwawin kila kitu .....!

Leo umeongea ki uanaume. Umeamua kuweka tofauti zako pembeni na kuongea ukweli big up. Nami nakuombea this time upate UCL.
 
Uefa super cup
Chelsea vs Liverpool (Liverpool kashinda kwa penalt kachukua kombe)
Carabao cup final
Chelsea vs Liverpool (Liverpool kashinda kwa penalt kachukua kombe)

Bado Chelsea wanapeana moyo kuwa wanaenda kubeba FA cup mbele ya Liverpool wakati recently katika mechi za kuchukua vikombe walizokutana na Liverpool zote kapigwa.
We endelea kukariri na hizo historia zako.....nyie msimu uliopita ndo mlikuwa mnapaza sauti hata tukiwa wabovu vipi anfield hatoki mtu ...mkaishia kuliwa na Brighton n burnley...na kwenye mikeka mnachanaga Sana mikeka nyie[emoji1787][emoji1787]
 
Two of the shortlisted bidders for #Chelsea are believed to be closely monitoring Paul Mitchell’s situation at AS Monaco and could contact him regarding the technical director’s role if they take control at Stamford Bridge.

[via @David_Ornstein]

Hii itatusaidia endapo tukifanikiwa kumpata huyu, tutaacha kufanya sajil za kupanic na ambazo haziendan na falsafa ya kocha
 
Pia kitendo cha TT Cha kumuweka RLC nafasi ya no 6 kinapunguza ubora wake jamaa ni mzuri Sana akiwa anacheza no 10 au nafasi yoyote ya mbele hapo ndio anakuwa ubora kumchezesha no 6 ni kumpotezea muda wake
Cheek hamna mtu mule.
 
Two of the shortlisted bidders for #Chelsea are believed to be closely monitoring Paul Mitchell’s situation at AS Monaco and could contact him regarding the technical director’s role if they take control at Stamford Bridge.

[via @David_Ornstein]

Hii itatusaidia endapo tukifanikiwa kumpata huyu, tutaacha kufanya sajil za kupanic na ambazo haziendan na falsafa ya kocha
Na yy pia aliwahi kucheza mpira so kama ikifanikiwa itakuwa Jambo zuri coz atakuwa ana jicho la kuona vipaji km Michael emenalo ...swali je hao 2 bidders ndo kundi la kina Nani na nani? Je ktk hao wapo Wale wanaopigiwa chapuo Kwa asilimia kubwa n mashabiki wa chelsea kuchukua timu ( Todd boehly consortium)? ..ngoja tuone

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom