Liverpool isipobebwa Tena naona akichapika mchana kweupe kabisa ....kwanza hata carabao mliwawin kila kitu .....!Uwezo wa kuwapiga Liver Tunao
Sababu ya kuwapiga tunayo
Nia ya kuwapiga tunayo
Tukutane 14 May
Karibu mkuuWe are coming for you....
Hao wakikutana na Keita, Fabinho na Thiago wanakuwa kama paka walionyeshewa.Naomba nitoe ya moyoni, kwa style anayocheza Cheek ndie kwa sasa mchezaji pekee anayeweza kupeleka mipira kwa wafungaji kwa sababu ana uwezo mkubwa wa kufanya dribling together with Kovacic
Umehamia Chelwowowo mkuu? Ngoja kwanza tuchukue hii Premier League kwa kuichapa Man U kisha wewe utoe sare.Liverpool isipobebwa Tena naona akichapika mchana kweupe kabisa ....kwanza hata carabao mliwawin kila kitu .....!
Liverpool isipobebwa Tena naona akichapika mchana kweupe kabisa ....kwanza hata carabao mliwawin kila kitu .....!





anataka akupande, alafu
anakutesa sana?Huna uwezo wa kumfunga man utd weweUmehamia Chelwowowo mkuu? Ngoja kwanza tuchukue hii Premier League kwa kuichapa Man U kisha wewe utoe sare.



Kashakaa 5 bilaHuna uwezo wa kumfunga man utd wewe![]()
Asante studio, kazi iyendeleeMOUNT 2nd goal View attachment 2191136
Inawezekanaje hii? Au ndio timu yetu ni Bora sana..Ndani ya msimu huu, wachezaji wote waliocheza mechi ya leo wamefunga goli kasoro Mendy tuu.
Asante studio kazi iyendeleeCHEEK 1st goalView attachment 2191135
Hii ni mechi zote za msimu huu pamoja na mashindano mengine za msimu huuInawezekanaje hii? Au ndio timu yetu ni Bora sana..
Huyo Jamaa anamatusi Sana anamuonea Sana lembu naona umemchokoza alafu sifa yake kuu anaonekana jukwaani timu ikiwa imefungwa au kufanya vibayaNdo madhara ya kulelewa na dada hayo,Unazitaja sehemu zao free tu kwa kuwa ulikuwa unaoga nao
Jamaa ni mzuri sema shida TT anampanga kwenye number ambayo sio ya kuonesha ubora wake namaanisha no 6 RLC ili umfaidi acheze no 10 hapa utamuona kwa ubora mkubwa Sana hata leo ukiangalia Jorginho alistick kwenye 6 ila jamaa anapanda mbele hata alivyoingia Kante ilikuwa hivyo hivyo Jamaa akienda mbele anasababisha madhara Sana na ndio maana leo kaperform vizuri.Cheek anacheza vizuri sijui kwa nini hakubaliki