Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Two of the shortlisted bidders for #Chelsea are believed to be closely monitoring Paul Mitchell’s situation at AS Monaco and could contact him regarding the technical director’s role if they take control at Stamford Bridge.

[via @David_Ornstein]

Hii itatusaidia endapo tukifanikiwa kumpata huyu, tutaacha kufanya sajil za kupanic na ambazo haziendan na falsafa ya kocha
Manure pia wanamtaka na Rangnick amemkubali
 
Utopolo unateseka sana baada ya Ramli zenu kushindwa
Hiyo ni kwa uchache. Naomba mjadala ufie hapa na kaa ukijua siwezi kumpigia ramli mdogo wangu niliomzidi karibu kila kitu
JamiiForums1520788126_331x511.jpg
 
Na yy pia aliwahi kucheza mpira so kama ikifanikiwa itakuwa Jambo zuri coz atakuwa ana jicho la kuona vipaji km Michael emenalo ...swali je hao 2 bidders ndo kundi la kina Nani na nani? Je ktk hao wapo Wale wanaopigiwa chapuo Kwa asilimia kubwa n mashabiki wa chelsea kuchukua timu ( Todd boehly consortium)? ..ngoja tuone

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Ndio ashawah cheza
Amefanya vizuri alipopita kuanzia soton n spurs wakat wa pochetino,rb liepzig n now monaco bado anafanya kaz nzuri
Screenshot_20220418-145307_Samsung%20Internet.jpg
 
Chelsea nawapiga tena FA cup easy sana!
Mane ataimaliza mapema sana safari hii
 
Kesho tutaanza na Lukaku ili Havertz apumzike
Pia kwa staili ya mabeki wa Arsenal wanavyocheza Lukaku anaweza pata hatrick yake ya kumfanya alipende jiji la London
Kwa hiyo line up yetu pendwa itakayotupa magoli 5 ni hii

Werner --- Lukaku ----- Mount

Alonso --- Kante -- Loftas Cheek --- James

Rudiger ----- Silva ------ Azpilicueta

Mendy
 
Nyie kongolo fc kumbe bado mjacheza na sisi naliza tuwapapase tunaanza na wenzenu majogoo leo

GGM.
 
Tano sio?
 
Nyie kongolo fc kumbe bado mjacheza na sisi naliza tuwapapase tunaanza na wenzenu majogoo leo

GGM.
Wewe lazima ndugu yako tumbo moja atakuwa ni yule Waziri wa habari wakati wa Sadam Husein, alikuwa na roho ya paka
 
Nyie kongolo fc kumbe bado mjacheza na sisi naliza tuwapapase tunaanza na wenzenu majogoo leo

GGM.
Hizi nguvu za kukomenti unatoa wapi. Ebu toa nzi hapa nenda kabishane na Norwich City. Juzi kakupiga tatu safi bado unazingua hapa. Leo natamani Liverpool akutandike hata 7 kabisa
 
Tangu enzi za Sarri top four tulikuwa tukiingia na viroho juu juu, lakini Sir Tuchel wala hatuja shida na kuhangakia top four, tunahangakia makombe, mara UCL, Mara FA mara Club Worldcup mara UEF Supper cup mara ?? EPL kidogo, mwakani itapendeza zaidi
 
Yes kuna sehemu chache Tu kidogo z usajili zikikamilishwa tunaweza kuwafikia liver na city performance wise n kufanikiwa kuchukua taji la EPL .. mmiliki mpya anayekuja asiwe kikwazo tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom