42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,835
- 8,874
Villareal siyo opponent mwepesi kama unavyoaminisha watu hapa.Liverpool will beat Vill home and away.
Liverpool to UCL final
3 times into 6 years of Klopp’s helm.
What a coach?
Villareal siyo opponent mwepesi kama unavyoaminisha watu hapa.Liverpool will beat Vill home and away.
Liverpool to UCL final
3 times into 6 years of Klopp’s helm.
What a coach?
Kabisa mkuu, Villarreal niliona mechi zake mpaka napata uoga fulani hiviVillareal siyo opponent mwepesi kama unavyoaminisha watu hapa.




Match itakuwa nzuri sana.Kabisa mkuu, Villarreal niliona mechi zake mpaka napata uoga fulani hivi![]()
Asernal sio wavulimilivuArsenal wanaona gere
Mvinyo huwa mzuri kutokana na muda uliokaaAiseeh yule Modrick anazeeka na utamu wake, ile outer ilivyopigwa huwezi amini kama ingezaa goli.
Narudia tena MODRICK ni fundi bwana.
Yaap hapo ndo mlipozingua. Baada ya kupata zile goli 3 mngerudi nyuma na kushambulia kwa kushtukiza nyie mkajisahau mkajua mnacheza na southampton kumbe mnacheza na madrid.Chelsea leo tumepambana sana sikutegemea kama tungeweza kupata hizo goli tatu ila nilitamani sana baada zile goli TT angekuwa na mbinu kama za mourinho au Diego simeoni kwa kupaki bus dk 10 zilizobaki nafikiri now ingekuwa ni kicheko tu






Pole sana dear.Kipigo Cha Bayern kimeondoka na wengi![]()
Sasa goli 3 wangepaki bus vipi wakat ni draw? Iliwapasa watafute goli la 4 la ushindiYaap hapo ndo mlipozingua. Baada ya kupata zile goli 3 mngerudi nyuma na kushambulia kwa kushtukiza nyie mkajisahau mkajua mnacheza na southampton kumbe mnacheza na madrid.
Goli 3 Madrid alikuwa anatoka mapema ....Sasa goli 3 wangepaki bus vipi wakat ni draw? Iliwapasa watafute goli la 4 la ushindi



Waliendekeza dharau.Yaap hapo ndo mlipozingua. Baada ya kupata zile goli 3 mngerudi nyuma na kushambulia kwa kushtukiza nyie mkajisahau mkajua mnacheza na southampton kumbe mnacheza na madrid.
Kuna kipindi chelsea alikuwa na aggregate ya 4, kabla Rodrigo hajawaweka kamba.Goli 3 Madrid alikuwa anatoka mapema ....
Agg ingekuwa 4-3....
Baada ya Rodrigo kufunga ndio maana wakaenda extra time ....benzema akawamaliza![]()
Man City akiendekeza ujinga atakaa kule kwa Simeone, A.Madrid sio team ya kubeza kabeza kwenye UEFA tena ukizingatia wapo nyuma kwa bao moja.Mashabiki wa liverpool na yule dogo wa mancity wamefurahi sana Chelsea kutolewa kwani ndiyo ilikuwa timu ya kikwazo kwao.
Nawatakia kila la kheri Liverpool na Man city fans ubingwa mwema. Mshindwe wenyewe.
Kwa upande wetu liverpool timu iliyokuwa kikwazo kwetu nadhani ni bayern peke yakeMashabiki wa liverpool na yule dogo wa mancity wamefurahi sana Chelsea kutolewa kwani ndiyo ilikuwa timu ya kikwazo kwao.
Nawatakia kila la kheri Liverpool na Man city fans ubingwa mwema. Mshindwe wenyewe.
Mimi na wewe Nani hana team? Sisi sio kama nyinyi mnatolewaga na goal 10 UEFA mpira sometimes unakuwa na bahati na bahati ilikuwa upande wa Madrid hiv nikuulize lile goal la Alonso kwanini limekataliwa wakati Benfica walifunga goal kama Hili kwenye makundi lakini goal likakubaliwa angalia pia Timo werner alishikwa na kuangushwa chini hawakuenda hata kuangalia kwenye VARKukumbushana Muhimu leo ni Wednesday lakini Chelsea are out of Championsleague lembu Hziyech22 Cash Money Forever OllaChuga Oc 42774277 huwa mna makelele sana wakati timu hamna imejaa umama umama mnaongoza 3 then mnatolewa?bye bye
![]()