Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nadhani kwa mashindani ya UEFA Chelsea wanacheza kwa mara ya kwanza hapo Santiago Barnabeu
 
Tuko hapa tunataka maelezo ya zile goal 6 za Southampton mtueleze mlizipataje
 
kama wewe ni active member wa package yeyote ya DSTV tumia hii hapa
boss mi nilikua mwanachama wa hesgoal...kwenye kitonga
 
Ni kweli TT kaweka 433

1649790062990.png
 
kama wewe ni active member wa package yeyote ya DSTV tumia hii hapa
Asante sana chief. Mi kwangu nna compact lakini channel 222 nilikua siipati.
 
Kwenye mabango wameonyesha 4-3-3 lakini uwanjani wanacheza 3-4-3. RLC anacheza wing back wa kulia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom