Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kikosi cha leo kilichoenda Madrid.

Labda mshinde njaa leo
20220406_210348.jpg
 
We utakuwa shabiki anayelipwa, sponsor wako ni nanio maana unajuhudi ya kushabikia hata kama kwako kunaangamia
Man U msimu huu nimekosa kila kitu furaha yangu iliyobaki nikuona Chelsea ana aga haya mashindano.
 
Naombea Chelsea tufungwe na Madrid tena, tutoke. Lengo tujipange vizuri kupigania ubingwa wa EPL.
 
Tukiweza kupata goal ndani ya dakika 20 za mwanzo, tutakuwa na chance ya kupindua meza

Kitu cha muhim leo ni kuwa wakatil kweny goal na kutokufanya individual error. Tukiweza kufanya hivyo tunaweza songa mbele
 
Kikosi kinachoanza leo

Mendy;
James, Silva, Rudiger, Alonso;
Loftus-Cheek, Kante, Kovacic;
Mount, Havertz, Werner.
 
Front 3 ya Ancelotti kamuanzisha Velverde ambaye huyu kiuhalisia ni kiungo na benchi kuna wachezaji wawili mpk watatu ambao wanacheza hiyo position ambao ni Rodrygo, Assensio na Vazquez. Maana yake kwenye makaratasi inaonekana ni 4-3-3 lakini kwenye uhalisia ni 4-4-2 huyu Velverde kuna wakati atashuka kusaidia ukabaji.

Kwangu naamini hapo ndio sehemu ya kwanza kuwaadhibu kwa kumuanzisha Werner na Ziyech wanauwezo wa kuwakimbiza hawa jamaa
Screenshot_20220412-202856_1649785497313.jpg
 
Sijajua kwann loftus aneanza leo ? Dah, Werner? Dah Alonso ? Aiseee Mungu atusaidie
Screenshot_20220412-210336.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom