lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,485
Huyo ni King Ngwaba anabadili ID sijui lengo lake ni nini?Unashabikia timu gani?
Huyo ni King Ngwaba anabadili ID sijui lengo lake ni nini?Unashabikia timu gani?
Shabiki mwenzako huyo wa nyumbu FCMwanamme kweli anaitwa Allypipi?
433 haitufai jamaniSijajua kwann loftus aneanza leo ? Dah, Werner? Dah Alonso ? Aiseee Mungu atusaidie View attachment 2185347
Tunchel kajitoa Muhanga yaani tukashambulie mbele. No matter what,433 haitufai jamani
Na hakuwahi kutimiza hiyo ahadi huyu Kenge.Kuna kipindi ulibeti kufir*wa pamoja na mkeo kwa pamoja. Wewe ni mwanaume kamili kweli!?
Tulia mpapaswe leoNa hakuwahi kutimiza hiyo ahadi huyu Kenge.
Only badiliko moja tu kutoka kwenye kikosi kulichocheza match iliyopita.Sijajua kwann loftus aneanza leo ? Dah, Werner? Dah Alonso ? Aiseee Mungu atusaidie View attachment 2185347
NI 3-4-3 tofauti na hapo livescore walivyoonesha....rlc anacheza RWB na James anacheza RCBSijajua kwann loftus aneanza leo ? Dah, Werner? Dah Alonso ? Aiseee Mungu atusaidie View attachment 2185347
Yes hata mimi nimeelewa hivoNI 3-4-3 tofauti na hapo livescore walivyoonesha....rlc anacheza RWB na James anacheza RCB
Kwahiyo kwa akili yako gemu ikiisha aggregate 3-3 chelwowo inapita hahahaIla wazee leo naona bahati iko upande wetu, naona tukimtoa Madrid baada ya aggregate kuwa 3-3.
The BLUES ile ninayoifahamu ya kila mchezaji yuko kwenye ubora wake. Ulinzi shirikishi, ushambualiaji kila upande.
Tunamtoa Madrid. Believe that
Ni 4-3-3 sema TT Kai expand kuwa 4-3-2-1NI 3-4-3 tofauti na hapo livescore walivyoonesha....rlc anacheza RWB na James anacheza RCB
Kapotea njia huyo mkamateni mumfikishe kituo cha polisi cha karibuJina lako unaitwa nani? Baba yako anaitwa nani? Mama yako anaitwa nani? Umetoka wapi? Unakwenda wapi?
Labda hawavushe daraja tuEeh Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo tuvunje leo kama ulivyowavusha wana wa Israel bahari ya Sham.
Amina.







kama wewe ni active member wa package yeyote ya DSTV tumia hii hapawakubwa naomba tusaidiane link au app ya kucheki hii mechi live...