Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Naona mnachambua tembele mana nyie hamna kawaida ya kuchambua soccer👍😅😅
 
Nilimwambia mwenzako mpya kwamba nyinyi ni vinega.

Soton 9 kafungwa lini?

Arsenal 8 kafungwa lini?

Liva 7 kafungwa lini?

Katika hao watatu nani amefungwa hizo goli nyingi karibuni kama ulivyoandika hapo?
We umesema Chelsea wamefungwa magoli mengi Sana km wanawake...nikakukumbusha hicho kipigo hevi ulichopokea ...n kujibu swali lako Soton 9 kafungwa msimu uliopita na nyumbu, arsenyeto mlifungwa na nyumbu msimu WA 2011/2012 ,liver msimu uliopita.kala 7 n aston..au hukuelewa maana ya hv karibuni .... By the way tuna rekodi yetu hapo Emirates labda km tiyari imeshavunjwa mi cjui.... Ya heaviest defeat mliyoface Emirates [emoji16]
IMG_20220408_095503.jpg
 
We umesema Chelsea wamefungwa magoli mengi Sana km wanawake...nikakukumbusha hicho kipigo hevi ulichopokea ...n kujibu swali lako Soton 9 kafungwa msimu uliopita na nyumbu, arsenyeto mlifungwa na nyumbu msimu WA 2011/2012 ,liver msimu uliopita.kala 7 n aston..au hukuelewa maana ya hv karibuni .... By the way tuna rekodi yetu hapo Emirates labda km tiyari imeshavunjwa mi cjui.... Ya heaviest defeat mliyoface Emirates [emoji16]View attachment 2180694
John huwezi ukasema aliyesuffer heavy defeate hivi karibuni halafu hivi karibuni ikawa 2011.

Its the reason nikasema tukishika hoja ya hivi karibuni nyinyi mtaanza
 
Condom pakiti tatu zimetapakaa uwanjani Stanford Bridge. Wafanya usafi wanajisikia kinyaa kuziokota
 
John huwezi ukasema aliyesuffer heavy defeate hivi karibuni halafu hivi karibuni ikawa 2011.

Its the reason nikasema tukishika hoja ya hivi karibuni nyinyi mtaanza
Labda km hukunielewa point yangu kuanzia 2010 na kuendelea....
 
Timu yako umesahau mara ya mwisho imeshiriki lini UEFA na haujui itashiriki lini.

Unakuja kupiga kelele humu ndani.

Nafasi ya 3 na ya 4 ni ya Chelsea na Tottenham.
Nyie saiv wakupambania nafasi ya nne? Kwani mwanzo mlisemaje? Kwakweli maisha yanabadilika [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom