Screenshot muombe mchambuzi wenu lembuaWewe si ndo uneamua kuleta hapa kila kitu?
Screenshot muombe mchambuzi wenu lembuaWewe si ndo uneamua kuleta hapa kila kitu?
ArsenaneTukawa tunawaita Chelsix.
Halaf ujue West Brom wangeongeza kimoja tu hilo jina lingeanza upya. Au Brentford juzi wangeongeza mbili au Madrid wangongeza tatu.
Yaani mnapigwa migoli hata wanawake hua hawapigwe kiasi hicho
Mtu kajibinua hivyo unamuamini akiongea?
Hizo nazikumbuka6 nilizokupiga ww
safiHizo nazikumbuka
Mara moja.Arsenane
Muambie muheshimiwa jaji umepigwa goal 8 au zaidi mara ngapi?
Kuwa basi kama unataka tuongekus Football achautoto kwanzaMtu kajibinua hivyo unamuamini akiongea?
Ni ngumu kumchukulia serious shabiki wa chelsea. Kwakua wewe ni mpya ukianza kutoa hoja tutajua kama na wewe ni wale wale ama la.Kuwa basi kama unataka tuongekus Football achautoto kwanza
Mara nyingi.Mara moja.
Nyinyi goli kuanzia tano mmepigwa mara ngapi?
Kwahyo unataka kusema mabao 8 umeyasahau ....yaan Kwa miaka ya karibuni ukitoa Southampton waliopigwa bao 9 mnafuata nyinyi bao 8....na mixer bao 12 z bayern sasa cjui unajicheketua nnTukawa tunawaita Chelsix.
Halaf ujue West Brom wangeongeza kimoja tu hilo jina lingeanza upya. Au Brentford juzi wangeongeza mbili au Madrid wangongeza tatu.
Yaani mnapigwa migoli hata wanawake hua hawapigwe kiasi hicho

Una interview inayomuonesha tuchel kalalamikia tuzoHicho ni kisingizio baada ya kupata matokeo mabaya.
Mbona wakati MNAPATA matokeo mazuri hamkusingizia? Au mgogoro umeanza JUMAMOSI ??? Au jumatano???
Mwezi march Chelsea kashinda mechi zote mpaka kupelekea Tuchel kulalamika kuhusu kutopewa tuzo ya kocha bora wa mwezi march.Kwamba mgogoro haukuwepo???
Kuanzia mwaka 2000 mpaka sasa?Mara nyingi.
Wewe kuanzia 5 umepigwa mara ngapi?
Nilimwambia mwenzako mpya kwamba nyinyi ni vinega.Kwahyo unataka kusema mabao 8 umeyasahau ....yaan Kwa miaka ya karibuni ukitoa Southampton waliopigwa bao 9 mnafuata nyinyi bao 8....na mixer bao 12 z bayern sasa cjui unajicheketua nn
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Na kwanini 2000 unaskip zile 5 bila walizowahi kukugonga akina Lampard 1999?Kuanzia mwaka 2000 mpaka sasa?
Nilimwambia mwenzako mpya kwamba nyinyi ni vinega.
Soton 9 kafungwa lini?
Arsenal 8 kafungwa lini?
Liva 7 kafungwa lini?
Katika hao watatu nani amefungwa hizo goli nyingi karibuni kama ulivyoandika hapo?
West Brom kashuka daraja ila alichokufanya tunakijua
Naomba tutajie timu zilizopigwa 5+ goals msimu huu.West Brom kashuka daraja ila alichokufanya tunakijua
Umemunyamazisha hawezi akaongea tena.Naomba tutajie timu zilizopigwa 5+ goals msimu huu.
Baada ya hapo tukabeba uefa, super cup na club world cup. Na timu ikatoa wachezaji bora na kocha bora duniani.West Brom kashuka daraja ila alichokufanya tunakijua
Nakumbuka za msimu uliopitaNaomba tutajie timu zilizopigwa 5+ goals msimu huu.