Bayern ametupiga wote hata kaka yako nilishindwa kukuteteaBayern alikustaafisha
Bayern ametupiga wote hata kaka yako nilishindwa kukuteteaBayern alikustaafisha
Kuna timu haijawahi kuifunga chelsea?We timu yako imeifunga Chelsea?
We umeifunga Chelsea msimu huu?Kuna timu haijawahi kuifunga chelsea?
Mimi sikupigwa 10-2Bayern ametupiga wote hata kaka yako nilishindwa kukutetea
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mimi sikupigwa 10-2
Akitaja utani-tagUtaje?
Ndaki ndaki wapi wee, Mendy aliicheza fyongo ule mpira, Rudiger kutanuka ndio utamaduni wa kuepusha contact na mpinzani kwenye eneo la hatari. Kwa mazingira yale hata hakutakiwa kumpasia Rudiger. Hizi mistakes kwa Mendy zinakuwa sasa zinajirudia na hajifunzi.Mendy alipiga pasi (ile ya kudonoa)
Rudiger alizubaa, alisubiri hadi mpira umfikie!!
Tumpongeze Benzema kwa kuwapa pressure Mendy na beki wake wakaji changanya.
Mie mshabiki ndakindaki wa Chelsea.
Ulipigwa naneMimi sikupigwa 10-2
Kwani tatu niliifunga msimu gani?We umeifunga Chelsea msimu huu?
Lete screenshotUlipigwa nane
Tatu zipi?Kwani tatu niliifunga msimu gani?
Lembua umeanza kushabikia chelsea mwaka 2019 wakati unabatizwa wenzako hawakukuambia kama nyinyi ni vinega?Akitaja utani-tag
Mendy anazikumbuka. Ukimuona muulizeTatu zipi?
Yaani kipigo chako screenshot niwe nazo mimi?Lete screenshot
We 6 bila unazikumbuka?Mendy anazikumbuka. Ukimuona muulize
Mlizopigwa na man city? Ni za zamani ila nazikumbukaWe 6 bila unazikumbuka?
Tukawa tunawaita Chelsix.We 6 bila unazikumbuka?
Wewe si ndo uneamua kuleta hapa kila kitu?Yaani kipigo chako screenshot niwe nazo mimi?
6 nilizokupiga wwMlizopigwa na man city? Ni za zamani ila nazikumbuka