Nilijua jamaa kaumia. Leo angetoka na mpira wakePulisic for Kai Havertz
Anapumzishwa kwa ajili ya Barnabeu
We inakuhusu nini. Au unaumia Chelsea kumfunga Southampton GOALI 6?Yaani leo mlivyomfunga Southampton mnadhani mtamfunga na Real madrid tena akiwa kwake?
Punguza uchawiYaani leo mlivyomfunga Southampton mnadhani mtamfunga na Real madrid tena akiwa kwake?
Bro hii ni disrespect. Chelsea deserves to win like this. Ukisema hivyo ni kama imekua ngekewa kitu ambacho sio kweliLivescore naona tunaongoza mbili bila mapemaaa. Leo tumeokota pochi ya mzungu
Oyaaa sikiliza wewe sisi ndio Chelsea bwana alaah...umeona kipigo Cha Leo tulichotoa? Uyo takataka Madirid ajipange
Kikubwa tunawashukuru Southampton kwa kumtoa OllaChuga Oc mafichoni kwenye jukwaa la urembo na vipodozi na kumrudisha kwenye jukwaa la michezo.Oyaaa sikiliza wewe sisi ndio Chelsea bwana alaah...umeona kipigo Cha Leo tulichotoa? Uyo takataka Madirid ajipange
#CFC![]()




Olla yupo nje ya nchi safarini


OllaChuga Oc kumbe lile jukwaa la vipodozi ndio nje ya nchi? Hahaha maake apo ncheke kwanza 😂😂😂 kule ndio pakujifichia mzeiyaa.....hahaha
Kikubwa tunawashukuru Southampton kwa kumtoa OllaChuga Oc mafichoni kwenye jukwaa la urembo na vipodozi na kumrudisha kwenye jukwaa la michezo.
Eti takataka Madrid
Mjiandae kwa kugongwa wimawima mtakapoenda kwenye gheto lao Santiago Bernabeu.
[/QUOTE
Ile timu yenu takataka Kila siku munagongwa hamuna maana nyie ..tuwape batshywai na bakayoko waje kuwasaidia maana pale OT hawakosi namba kabisa.
Ila we mwamba unatisha sana.Hahaha maake apo ncheke kwanzakule ndio pakujifichia mzeiyaa.....hahaha
Tuachieni uzi wetu tujinafasiView attachment 2182106
Mtaani hatupumui leo 😂😂😂😂