Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tuwe wakweli mpira gani madrid wamecheza kiufupi makosa ya mendy imetugharibu team

Kiukweli first two goals nakosa mtu wa kunnyooshea kidole....

Tulipanda sana tukapigwa tukio.

Momentum ilianza kurudi tukapata na goal moja.

Ila goal la 3 lile ni uzembe clearly kabisa.

Yaani jamaa alikuwa peke yake akashindwa kupiga pasi?. Dah.
 
Mumeona sasa?
Niliwahi kusema kwenye huu uzi munatumia muda mwingi kujazana ujinga kuliko uhalisia.
  • Sasa endeleeni kujazana ujinga wa kuwa hakuna Timu inayotaka kucheza na Chelsea.
  • Endeleeni kujazana ujinga wa kuwa hakuna Timu inayoweza kuifunga Chelsea.
  • Endeleeni kujazana ujinga wa mwanzo wa Msimu mulipoaminishana kuwa Makombe yote ya EPL na UCL mutabeba Chelsea.
We timu yako imeifunga Chelsea?
 
Timu yako umesahau mara ya mwisho imeshiriki lini UEFA na haujui itashiriki lini.

Unakuja kupiga kelele humu ndani.

Nafasi ya 3 na ya 4 ni ya Chelsea na Tottenham.
Sijasahau mara ya mwisho kushiriki CL.

Kelele mnapiga nyinyi mkimkumbuka Ustadh Karim.

Tusubiri tuone
 
Pasi alipiga ikamfikia muhusika?

We unashabikia timu gani mzee?
Mendy alipiga pasi (ile ya kudonoa)

Rudiger alizubaa, alisubiri hadi mpira umfikie!!

Tumpongeze Benzema kwa kuwapa pressure Mendy na beki wake wakaji changanya.

Mie mshabiki ndakindaki wa Chelsea.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom