Jackwillpower
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 2,539
- 3,860
Hiki ndo kilichotokea ukiangalia selection ya kikosi cha leo unaona kabisa Tuchel alikuwa anapiga hesabu game ijayo wakati hii hajaimalizaHii game timecheza lakini akili zetu zote zipo kwa madrid na ndio maana tumefungwa hata selection ya kikosi tu haikuwa mzuri
Tokeni mnatuchafulia uzi wetu
Atakuwa yule chalii wa ngareroo Ollachuga acha hizo mambo aisye
Kama unateseka chukuwa ufuto ufute ubao hahahaTokeni mnatuchafulia uzi wetu
Tunajua bingwa ni Man city we unaenda kumsindikiza tu
Tunajua bingwa ni Man city we unaenda kumsindikiza tu
Acha visingizio,Wape pongezi Brenford waliweza ku manage mechi vizuri,hata kipindi Cha kwanza nilicho angalia Chelsea alikuwa kazidiwa.Kwanini unatafuta visingizio ambavyo siyo vya msingi.Kwamba international break Ina uhusiano Gani na kufungwa Kwa timu Ingali timu Haina injury ni full mkoko.Chelsea wakitokaga international break wanakuwa hovyo sana
Leo Rudiger hakuwa mchezoni, sijui kashasaini mkataba na Barcelona!!
Formation ya 433 haiwafai Chelsea tangu enzi za Sari na Lampard
Huwa vigezo vya hii tuzo siielewi.Mbona hata klopp kashinda karibia mechi zote mwezi march
Kwahiyo saiv umehamia man shity hahahaTunajua bingwa ni Man city we unaenda kumsindikiza tu
we call it "hope"Tarehe kama ya leo mwaka jana tulifungwa goli 2-5 nyumbani na west bromwich albion mara baada ya kuongoza mechi kwa goli moja. Na tukaenda kucheza mechi ya robo fainali tukashinda. Tuchel amecheza mind game tu madrid anaenda kufa jtano inshaAllah