Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tuchel kauza mechi !! Unampangaje kati loftus cheek halafu unamuacha nje kovacic, ? Alonslow na mwenzake aziplicueta huwa siwaelewi wanafanya nn uwanjani.

Mount was very poor ,sluggish with the ball, werner na ziyech nao hawakuwa mchezoni.

Kifupi waliokuwa mchezoni ni rudiger,kante na havertz tu...wengine wote miyeyusho na hii imechangiwa na hii international break. First eleven yote ilikuwa kwenye international duty
Blah blah blah blah acheni visingizio Uwezo wenu ndo umefikia hapo hahaha

Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
 
IMG-20220402-WA0041.jpg
 
Tuchel kauza mechi !! Unampangaje kati loftus cheek halafu unamuacha nje kovacic, ? Alonslow na mwenzake aziplicueta huwa siwaelewi wanafanya nn uwanjani.

Mount was very poor ,sluggish with the ball, werner na ziyech nao hawakuwa mchezoni.

Kifupi waliokuwa mchezoni ni rudiger,kante na havertz tu...wengine wote miyeyusho na hii imechangiwa na hii international break. First eleven yote ilikuwa kwenye international duty
Kamuuzia nani mkuu
 
Dah inakuwaje tumetundikwa BAO nne tenaa home😳😳 ..SEMA Nini hata msimu ulopita tulitandikwa BAO Tano sijui na nani yule lakini tuliibuka kidedea mbele ya man shitye baada ya kumkojolea kimoja Cha fasta chenye afya. Sisi focus yetu ni uefa, hatuna Cha kupoteza tena msimu huu ..afe kipaa afe beki ubingwa wa UEFA ni lazima utetewe.

Leta huyo Madirid ndio ujue sisi moto wa kuotea mbali..
#CFC💙💙💙
 
Nyie matakataka mamluki mujiandae maana hata hiyo nafasi ya nne hamuipati ng'ooo ..sisi ndio Chelsea bwana, Leo tumepoteza kwa sababu hiyo jumatano hao Madirid na nyie matakataka mamluki mujiandae maana sisi hatuna Cha kupoteza tena msimu huu.

Kipigo kizito kinakuja kwenu.
#CFCforever💙💙💙
 
Nimepitia comments zote za Leo, naona watu walivyopata furaha kupitia kwetu.
Any way naombeni goal la Rudiger nikalipost maana sio Kwa shoot like.

Mbona hata nyie Liverpool ikifungwa mnafurahiaga.sisi kufurahia Tatizo liko wapi?

Hamna timu ya kuchukua ubingwa nyie nilisema kuanzia ligi inaanza
 
Nyie matakataka mamluki mujiandae maana hata hiyo nafasi ya nne hamuipati ng'ooo ..sisi ndio Chelsea bwana, Leo tumepoteza kwa sababu hiyo jumatano hao Madirid na nyie matakataka mamluki mujiandae maana sisi hatuna Cha kupoteza tena msimu huu.

Kipigo kizito kinakuja kwenu.
#CFCforever
Madrid hawezi kukubali umuondoe mara mbili Uefa.Acha kujitekenya chaliiii...
 
Hawa Ricketts family wakubali tu, maana sio kwa kungangania huku,

Mashabiki hawana imani nayo + scandal zao walizozipata wangekuwa wengine hata wasingeendelea ila hawa jamaa ni vinganganizi sana.

Hata wakifanikiwa naona kabisa wakitumia mda mwingi nje ya uwanja kujisafisha na kuacha kufanya uwekezaj ndn ya uwanja
Wana bahati mbaya, domo domoz ao na ubaguzi ndio unaowagharimu vizazi na vizazi. Lesson learned
 
Chelsea wakitokaga international break wanakuwa hovyo sana
Leo Rudiger hakuwa mchezoni, sijui kashasaini mkataba na Barcelona!!
Formation ya 433 haiwafai Chelsea tangu enzi za Sari na Lampard
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom