Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Defenc yetu leo ilikuwa iko hivyo ilishindwa kudeal na movement za kina mbuemo n toney,

Werner + Alonso hawakucheza vizuri,
Tuchel alichelewa kufanya sub leo, kafanya sub tayar game ishakuwa ngumu kwetu,

Tusahau hii game kwa haraka ,tujiandae na Real madrid hapo j5
 
Anything is possible bro
Yeah, anything its possible, ila based on current performance, do you think man utd/spurs wacheze 9 games in a row bila kupoteza or draw,

Gap ni 9 pts, so chelsea apoteze almost 4games huku hao washinde zote, sidhani tho anything kinaweza tokea katika football
 
Nilisema hatutaki namba nne tunaitaka namba tatu.

Nne kagombanie na Westham.
 
Huu Uzi watu watarudi j4 jioni

Goal I nne nyingi sana, yan utomb* kweli kweli
Wahuni wamemaliza packet moja halafu kibabe sana wakafungua packet ya pili.
Kusikia kwa kenge mpaka akianza kutoka damu matakoni.
 
Defenc yetu leo ilikuwa iko hivyo ilishindwa kudeal na movement za kina mbuemo n toney,

Werner + Alonso hawakucheza vizuri,
Tuchel alichelewa kufanya sub leo, kafanya sub tayar game ishakuwa ngumu kwetu,

Tusahau hii game kwa haraka ,tujiandae na Real madrid hapo j5
Kwahiyo sisi tufanyeje mzee baba?
 
Tuchel kauza mechi !! Unampangaje kati loftus cheek halafu unamuacha nje kovacic, ? Alonslow na mwenzake aziplicueta huwa siwaelewi wanafanya nn uwanjani.

Mount was very poor ,sluggish with the ball, werner na ziyech nao hawakuwa mchezoni.

Kifupi waliokuwa mchezoni ni rudiger,kante na havertz tu...wengine wote miyeyusho na hii imechangiwa na hii international break. First eleven yote ilikuwa kwenye international duty
 
Pole lakini, Arsenal anatafuta nafasi ya 3 kumbuka
🤣🤣🤣 Eti nafasi ya 3 acha masiala wakati mnakipolo na sisi hata hiyo j'3 yenyewe hamtoboi tuna kule tuna kijana wetu conor Callagher lazima awachezeshe msamba akisaidiana na Zaha
 
Tuchel kauza mechi !! Unampangaje kati loftus cheek halafu unamuacha nje kovacic, ? Alonslow na mwenzake aziplicueta huwa siwaelewi wanafanya nn uwanjani.

Mount was very poor ,sluggish with the ball, werner na ziyech nao hawakuwa mchezoni.

Kifupi waliokuwa mchezoni ni rudiger,kante na havertz tu...wengine wote miyeyusho na hii imechangiwa na hii international break. First eleven yote ilikuwa kwenye international duty
Ukiangalia hii game vizuri wachezaji pamoja na kocha akili zao zote wamewekeza kwenye game dhidi ya Madrid na ndio maana hajachezesha mfumo wake wa kawaida wa beki wa3 na hata selection haikuwa nzuri hata wachezaji ukiwaangalia game haijawauma kupoteza
 
Daaa kipigo cha leo
20220401_161047.jpg
 
Kuna viazi vinajifariji hapa.

Mara ya mwisho kumpiga mkeo bao nne lini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom