42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,835
- 8,874
TunawakaribishaaaaaaHaya haya haya kumekuchaaaaa kumekuchaaa my favorite Fans mpo?
TunawakaribishaaaaaaHaya haya haya kumekuchaaaaa kumekuchaaa my favorite Fans mpo?
Top 4 kwa idadi ya games zilizobakia muwe careful mtajikuta nafasi ya 5Tunawakaribishaaaaaa
Teh teh teh tehBrentford ni ndugu zetu.
Wa London wenzetu.
So its just okay tukiwaachia kwa leo.
Yeah cheltako wamecheza mziki kwa kutingisha tako halafu wahuni wakaingiza mkuyenge kati ya tako.Wewe Liverpuru ukae kwa kutulia. Maana mziki wa the blues unaujua fika.
Weww umechukua point ngapi,kwa hiyo timu?
Sawa tuTop 4 kwa idadi ya games zilizobakia muwe careful mtajikuta nafasi ya 5
Aitafute tu. Kila la heri kwake.Pole lakini, Arsenal anatafuta nafasi ya 3 kumbuka
Acha kuringa mnawapa vibonde dezo wakati sisi machalii tuna ukwasu.Kwani ni shida zenu? 🤣🤣

Nooo, sawa tunaweza poteza game, je spurs or man utd wanaweza cheza game zote zilizosalia bila kupoteza,Top 4 kwa idadi ya games zilizobakia muwe careful mtajikuta nafasi ya 5