Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Rickett family leo hii wametangaza plan yao endapo wakifanikiwa kuwa wamiliki wa chelsea
IMG_20220403_161147.jpg
 
Plan nzuri ..Ila hizi zisije kuwa siasa Tu maana kila bidder atakuja na plan nzuri za kuvutia mwsho WA siku wakikabidhiwa timu waanze iendesha kifaida.....
Hawa wote naona ni wanasiasa, ngoja tuone wakishapata wanachokihitaji, summer ndio itakuwa mtihan wa kwanza
 
Mtasingizia mgogoro... Mwezi huu mpaka mtubuu.

Hapo haujakutana na gunnerz,Hammerz na Wolves
Hakun sehemu niliyosingizia Mgogoro. Hizo ni interest zako mwenyewe. Mimi nimekubali matokeo na nimeyapikea vilivyo. Rudi ukasome tena.
 
Hakun sehemu niliyosingizia Mgogoro. Hizo ni interest zako mwenyewe. Mimi nimekubali matokeo na nimeyapikea vilivyo. Rudi ukasome tena.
Vipigo havijaisha ndo maana nikasema mtasingizia mgogoro ndo chanzo cha vipigo.
 
Sarr anakaba Sana kuliko Alonso Ttzo lake kwenye kushambulia, sio complete fullback
Alonso is a good bet than Sarr, waacheni hao watoto wapate uzoefu kwanza. Kocha ampe tu maelekezo huyo Alonso. Asiposinzia uwanjani Alonso ni good Wingback
 
Sarr anakaba Sana kuliko Alonso Ttzo lake kwenye kushambulia, sio complete fullback
Sar hata kutoa pasi hajui na ni uchochoro, anacheza rafu za kipuuzi, ni mchezaji wa hovyo kuwahi kutokea. Bora Alonso mara 800
 
Sar hata kutoa pasi hajui na ni uchochoro, anacheza rafu za kipuuzi, ni mchezaji wa hovyo kuwahi kutokea. Bora Alonso mara 800
Mimi shabiki wa chelsea Sarr sijui kafikaje klabuni

Saa hata makolo fc hapati namba

Staili yake uchezaji waje

Hana physique ya kisoka labda bodyguard au bodybuilder
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom