juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,952
- 5,438
Yeah najua hilo,asante kwa kuliongezea hapoKumbuka pia kuwa ofa sio tu pesa za kununua timu bali pia na vitu atakavyofanya ili kuboresha ushindani wake. Posibly kaongeza pesa lakini pia inaweza kuwa hajaongeza pesa ila kaongeza ahadi kwenye plans zake ya mamabo atakayofanya akikubaliwa kununua Chelsea. Hizi ni Investment atakayofanya kwenye facilities na wachezaji na pia uendeshaji mzima wa timu ili niwe sustainable. Mfano wameahidi kurudisha hali kuwa normal kabla ya game na Brentford, hiyo ni mojawapo ya maboresho aliyofanya kwenye bid
Nimejaribu kufatilia interview zakd anaonekana ni mzuri ni mtu anayependa kushinda makombe, kingine tangu mwaka 2018/19 alijaribu kuinunua chelsea jamaa anaonekana na nia tangu mda mrefu.
Kule kwenye MLB tim yake inafanya vizuri
Wasiwasi wangu ni wale wanaomzunguka tu yule mzee wyss na goldstein hawa ndio nmashaka nao

