Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kuna muda unakuaga na ujuaji usio na maana mkuu. Jirekebishe.

Samahani sina nia mbaya. Nimekwambia kiroho safi mkuu.
Wewe mkuu una ujuaji kuliko mim i kwa sababu hata nilichokoment hujaelewa
Nimetumia neno very very rare.. baadaye nikase ...sikatai kuna watakaofanya hivyo...

Kama Saudi Media wamefanya hivyo compare na waliotangaza. itakuja kuangukia ukweli niliousema kuwa ni9 very rare. Wengi wanafanya publicity, ili hata kama wakikosa wawe wamefahamika
 
Sources: Roman Abramovich does not want to accept a bid for Chelsea from a country that has sanctioned Russian oligarchs. Abramovich will be able to influence the club’s sale despite having had his assets seized by the Government.

[via Mail Sport]
 
Mbona waliopewa kandarasi ni wamarekani, hizi naomba zibaki tu kuwa tetesi
 
Nimeipenda hii.

SAUDI MEDIA GROUP believe that
Tusifurahia situations kama hizi kwa sababu inaweza isiwe na faida kwa Chelsea
Sababu kubwa ya kusema hivyo ni kwamba kuna taarifa pia kuwa serikali ya Uingereza hawatamkubali mnunuzi ambaye wana wasiwasi wanaweza kumnufaisha Abramovich wakati wao wanataka pesa za mauzo ziende kwa waadhirika wa vita kule Ukraine
Mfano
kama hiyo habari ni kweli na serikali ya uingereza nayo ikabakia na msimamo wake wa kutopitisha mnunuzi ambaye hawataweza kumdhibiti, hii ina maana Chelsea inaaweza aidha ikakawia kuuzwa au isiuzwe kabisa
Kama Chelse ahaitauzwa au kukawia kuuza maana yake vikwazo vya serikali vilivyobana mauzo ya tiketi, mikataba na matumizi ya timu zitaendelea kutupeleka pabaya zaidi kuliko hapa tulipo.

Tiba ya Chelsea ni kuuzwa tena takeover ifanyike haraka sana ili maisha yarudi normal
Kama Saudi Media Group watakubaliwa na haitaleta vikwazo kwa serikali hapo sawa ila ikileta maana yake inabidi bider anayefuata apewe timu na zoezi hapo kuchelewa na kama Abramovich atasimamia kuwa anamtaka tu Saudi Media Group na Serikali kusimamaia kuwa haimtaki, Chelsea haitauzwa
 
Kuna tetesi kuwa Roman abrahamovic priority yake n kutowauzia matajiri wanaotoka nchi zilizowawekea vikwazo urusi km Uingereza na marekani........filamu inazidi kuwa tamu
Kwa mantiki hii ni kweli kuwa anamsaidia Putin kisiasa, tuhuma ambazo zimezaa hili saga?
 
Kuna tetesi kuwa Roman abrahamovic priority yake n kutowauzia matajiri wanaotoka nchi zilizowawekea vikwazo urusi km Uingereza na marekani........filamu inazidi kuwa tamu
Hana uwezo wa kuamua chochote,serikali ndio itaamua
 
Hana uwezo wa kuamua chochote,serikali ndio itaamua
Serikali Wana monitor zoezi lote la uuzaji WA timu na kuhakikisha fedha zinazopatikana baada ya mauzo haziendi Kwa Roman directly wala ule mfuko WA kuwasaidia wahanga kule Ukraine....mwenye maamuzi ya mwsho NI yeye
 
Mimi nahisi kwamba Abrahamvic anajiuzia hii timu.

Yaani bado atakua na control nayo nyuma ya pazia.

Vikwazo vikiisha atarudi.
 
Hana uwezo wa kuamua chochote,serikali ndio itaamua
Abramovich hajanyang'anywa umiliki, amewekewa vikwazo tu. So bado muuzaji na mwenye maamuzi ni bosi. Serikali inachofanya ni kutekeleza yaliyomo kwenye vikwazo mojawapo bosi asibenefit direct na mapato baada a vikwazo. Pia serikali itakuwa na sauti ya kutoa license au la kwa mmiliki mpya. Kama kakidhi vigezo vya Serikali hatapewa leseni na option ya pili itabidi ifuatwe hadi timu iuzwe. Pia ujue kuwa Abramovich kupitia mwanasheria wake wanawasiliana na wa serikali ili mambo yasikwame. Sio rahisi Abramovich kuleta chaguo ambalo Serikali itapinga. Aliahidi Chelsea itawekwa mikononi salama. Na mimi naamini atafany hivyo. Hizi tetesi za kwamba hatawauzia wanunuzi lutoka nchi zilizompiga sanction ni story za kijiweni tu.
 
Sources: Roman Abramovich does not want to accept a bid for Chelsea from a country that has sanctioned Russian oligarchs. Abramovich will be able to influence the club’s sale despite having had his assets seized by the Government.

[via Mail Sport]
Hakuna story kama hii just ni tetesi na uongo
 
Sources: Roman Abramovich does not want to accept a bid for Chelsea from a country that has sanctioned Russian oligarchs. Abramovich will be able to influence the club’s sale despite having had his assets seized by the Government.

[via Mail Sport]
Hizi ni tetese tu

Kumbuka serikal ya UK nayo inao uwezo wa either kukubal or kukataa yeyote yule atakae shinda.

Kuanzia wiki hii inayoanza hopefull tutaanza kujua wale wa nne waliobaki.

Baada ya hapo ndio tutajua
 
Tukutane fainali
20220320_205410.jpg
 
Liverpool kashikiliwa huku na Nottingham Forest sijui kama watapita
 
Tery na Claire (mchezaji wa zamani wa timu ya wanawake) wajiunga na True Blue Consortium wenye nia ya kununua asilimia 10 ya shares za Chelsea kwa ajili ya mashabiki. Wanaungwa mkono na Stamford Bridge freeholders, Chelsea Pitch Owners, and the club's supporters' trust.
 
Mimi nahisi kwamba Abrahamvic anajiuzia hii timu.

Yaani bado atakua na control nayo nyuma ya pazia.

Vikwazo vikiisha atarudi.

Arudi tuu kikubwa azid kuwanyima usingizi man u na liverpool
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom