Hicho kikao walikaa wakwe zako wanataka wakunyang'anye mke umeshindwa kumtunzakatika kikao cha Uefa kilichokaa jana wamejadili na wanafikiria kuipiga ban Chelsea, baada ya kuonekana kuwa inafadhiliwa na genge la waarifu

Hicho kikao walikaa wakwe zako wanataka wakunyang'anye mke umeshindwa kumtunzakatika kikao cha Uefa kilichokaa jana wamejadili na wanafikiria kuipiga ban Chelsea, baada ya kuonekana kuwa inafadhiliwa na genge la waarifu

Sawa ww mkuu unatakaje?Yaani ALONSO hamzuie vinicius hapo ngoja kwanza ncheke![]()
Hicho kikao walikaa wakwe zako wanataka wakunyang'anye mke umeshindwa kumtunza![]()
waarifu ndio kitu gani




UEFA wamekanusha, tutaanzia nyumbaniTaarifa imetoka kwamba ratiba ya chelsea imebadilika.
Maana haiwezekani timu mbili za madrid zikacheza siku moja kwenye jiji moja. Atletico vs Man city na Chelsea vs Madrid.
Hivyo chelsea ataanzia Santiago Bernabeu.
Wamebadili kwa sababu hiyo na taarifa imetoka.
Hata Saudi Media Group nasikia hawajasubmit. Hizi 30 zimetoka wapi?Raine Group have received atleast 30 offers for Chelsea. ( @JacobSteinberg )
Kuna watu wamesubmit na hawajaenda public,Hata Saudi Media Group nasikia hawajasubmit. Hizi 30 zimetoka wapi?
Report ya leo inasema,Confirmed buyers hadi jana siku ya deadline
1) Boehly-Wyss-Goldstein-Finkelstein consortium - £2.5 bid
2) Ricketts Family - £2.3 bid
3) Sir Martin Broughton
4) Nick Candy - £2.0 bid
5) Aethel Partners - £2.0 bid
6) Woody Johnson - still puting together a consortium - £2.0 bid
Wengine walipiga siasa tu ili wajulikane na wao wapo
Kinachofuata sasa ni mchujo mkono wa Serikali ukifanya kazi hapo
Watakaopendekezwa kwamba wanazo sifa watafanyiwa tathmini na PL ili kuona kama wanazo sifa za kuwa madirectors
Todd Boehly had already submitted a bid between £2-2.5BN, but Telegraph Sport can reveal he made a new, improved offer on this just a few minutes before the deadline. ( @Matt_Law_DT ) https://t.co/Fmq0vjuJKFKumbuka wewe ni mwanaume, mbona unaongea maneno yasiyoendana na jinsia yako! jitafakari.Timu halina hata chakula cha kuwalisha wacheza kwenye game ...achilia mbali nauli![]()
Kumbuka wewe ni mwanaume, mbona unaongea maneno yasiyoendana na jinsia yako! jitafakari.
Kama huna imani njoo PM nikusokomeze ukuni ,si una hamuMimi sina Imani kama ni Mwanaume, Kwanini unamlizimisha?
Mwanaume hawezi kulia lia kisa changamoto katika Upambanaji wake
Kumbuka pia kuwa ofa sio tu pesa za kununua timu bali pia na vitu atakavyofanya ili kuboresha ushindani wake. Posibly kaongeza pesa lakini pia inaweza kuwa hajaongeza pesa ila kaongeza ahadi kwenye plans zake ya mambo atakayofanya akikubaliwa kununua Chelsea. Hizi ni Investment atakayofanya kwenye facilities na wachezaji na pia uendeshaji mzima wa timu ili iwe sustainable. Mfano wameahidi kurudisha hali kuwa normal kabla ya game na Brentford, hiyo ni mojawapo ya maboresho aliyofanya kwenye bidReport ya leo inasema,
Boehly aliongeza bid yake before kufungwa kwa mda, n akahawakikishia kuwa endapo akifanikiwa ndani ya wiki mbili kila kitu kitakuwa sawa na chelsea vs brentford kutakuwa na mashabiki
Todd Boehly had already submitted a bid between £2-2.5BN, but Telegraph Sport can reveal he made a new, improved offer on this just a few minutes before the deadline. ( @Matt_Law_DT ) https://t.co/Fmq0vjuJKF
Very very rare. Ununuzi wa timu kubwa kama Chelsea unaanzia kwenye publicity kwa sababu ya mashabiki, sikatai kuna watakaofanya hivyo, ila trait ya kwanza ya mfanya biashara ni publicity, hata kwenye ndoa na sendoff za watoto wao wanafanya publicity sembuse kwenye uwekezaji wa sport unaohitaji atention ya mashabiki. Tusubiri tuone, hardly that to happenKuna watu wamesubmit na hawajaenda public,
Sio kila anaesubmit atasema kwa waandishi wa habar,
BBC wanasema 10-15 ndio wameswma public ila wengine hawajatangaza public
Fatilia mkuu, sio hao tu wako wengi