42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,835
- 8,874
Sema kwa sauti wakusikie vzrliverpool hafiki fainal.
Sema kwa sauti wakusikie vzrliverpool hafiki fainal.
Unaota weweliverpool hafiki fainal.

Chelsea tunaenda kuchukua uefa kwa msimu huu pia. Screen shot hii comment yangu kisha tarehe 29 may utakuwa na jibu




Hatuna Shaka na defence yetu ..Game yenu na real Madrid ni mtego ,benzema ni mtu na nusu kabisa ...!
Kwani msimu ulioisha hawakumuona Alonso?Mwanangu hao wote watakimbilia kwa alonso sabab huo ndo uchochoro na kila mchezaji anajua hilo uwanja utainamia upande wa alonso
Waache waongee. Kwanz wameshukuru kutokutana na Chelsea Robo fainaliThat is too much insult, hata kama anaborongaga, Alonso anahitaji heshima angalau kidogo. Winga wa kushoto hawezi hamia kulia sijawahi kuona hiyo. sana sana anaweza cheza popote wakati wa kushambulia kwenye final third na wakati huo kila mchezaji anakuwa ni defender
man city na kushinda uefa wapi na waiTusubiri Fainali ifikeView attachment 2155800
uchambuzi wa kimchongoTusubiri Fainali ifikeView attachment 2155800
Incase You're Not Aware....
Monaco FC of France is owned by a Russian Oligarch Demitry Rybolovlev! He also owns Cercle Brugge FC which is in Belgium where
NATO HQ is based..
Another club owned by a Russian Oligarchy is is Vitesse Arhnem which is in Holland! The owner's name is Valerie Oyf..
Note! The Government of these countries where all these clubs reside didn't even make any attempt to sanction these guys or their clubs but the UK Government decided to show their hatred in broad daylight to Chelsea FC & Roman Abramovich...
Why I said Hatred in broadaylight is this? Did u know that A.F.C Bournemouth nicknamed the Cherries a club also in England is also owned by a Russian businessman Maxim Victorovich Denim whose also a UK Citizen! Yet No sanctions! Why? Becos he's not an Oligarchy as they said! Laughable! But his net worth runs into Billions of Pounds according to Forbes!
Yet those who are Oligarchy in various countries in Europe have not being touched nor sanctions! But they want us to believe that this sanctions came as a result of the War in Ukraine..
The mind bonging Question is this?? Did Chelsea FC Invade the Ukraine?? OR did Roman Abramovich throw the bombs inside Ukraine!! Why all this Hatred of wanting to bring the Club down!! Why UK Government? Why??..
Come out in clear terms & let the Public know your intentions! This isn't about any War in Ukraine! But Just Pure Hatred...
liverpool hafiki fainal.
NI either umechekelea kishabiki au umekuwa brainwashed na western agendas....Ila all in all Chelsea bado itakuwa strong and high possibility ya kupata wamiliki watakaoendeleza alipoacha bwana RomanKaka ondoka huko kwa gaidi
Ifanye dunia sehemu salama kwa kila binadam
Say NO to Putin’s henchmen like Abramovich and his clowns

Nishasema chelsea Bado ni underdog kwenye huu msafara ...pamoja na kuwa sijui bingwa mteteziTusubiri Fainali ifikeView attachment 2155800






Unaumwa wwNishasema chelsea Bado ni underdog kwenye huu msafara ...pamoja na kuwa sijui bingwa mtetezi![]()
Hufiki fainal wewe kuku. Kwa Benfica kazi unayoNazuiwa na nani?
Liverpool vs Madrid final
Wee jamaa akili huna, badala y kupambana na timu yako. Ilikua inaongoza point 13 sahv imebak moja. Kazi kuzunguka na kidera kw wanaume.Game yenu na real Madrid ni mtego ,benzema ni mtu na nusu kabisa ...!