Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,743
Wewe unapigiania Nini mpaka SasaWee jamaa akili huna, badala y kupambana na timu yako. Ilikua inaongoza point 13 sahv imebak moja. Kazi kuzunguka na kidera kw wanaume.
Wewe unapigiania Nini mpaka SasaWee jamaa akili huna, badala y kupambana na timu yako. Ilikua inaongoza point 13 sahv imebak moja. Kazi kuzunguka na kidera kw wanaume.
Madrid hii hii ambayo haijawahi kumfunga chelsea?Nazuiwa na nani?
Liverpool vs Madrid final
Hizo timu hapo Zina European Cups except man city.Nishasema chelsea Bado ni underdog kwenye huu msafara ...pamoja na kuwa sijui bingwa mtetezi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba tusilipe nauli?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]oyaaa oyaaaa nimebaki na nacheka sanaa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Kwamba tusilipe nauli?
Mzee as long as we are in good form we don't care ,football is all about win and lose ..[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]wewe ni underdog to haujifichi popoteHizo timu hapo Zina European Cups except man city.
Hapo wewe ndio Underdog.
Kunguni.
Atletico anakung'oa ng'ombe wewe.Mzee as long as we are in good form we don't care ,football is all about win and lose ..[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]wewe ni underdog to haujifichi popote
Yaah inawezekana akatutoa na sisi tunaweza kumtoa vile vile [emoji28][emoji28][emoji28]Atletico anakung'oa ng'ombe wewe.
Fainali Chelsea na Bayern.Yaah inawezekana akatutoa na sisi tunaweza kumtoa vile vile [emoji28][emoji28][emoji28]
Wewe takataka mbwa Koko ndio ufike final [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]huna hata nauli ya kwenda Madrid boyaa wewe [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Fainali Chelsea na Bayern.
Wewe kwenye UEFA ni mdebwedo sana. Ile siyo epl.
Wait and see.
We subiri tar 28 mwezi wa 5Wewe takataka mbwa Koko ndio ufike final [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]huna hata nauli ya kwenda Madrid boyaa wewe [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Nauli yenyewe ya kwenda France kucheza final unayo [emoji28][emoji28][emoji28]majitu mengine yanaota ndoto za ajabu kweli yani [emoji28][emoji28]huko dressing room hata maji ya kunywa hamna ,chakula cha kula mchana kwa ajiri ya match huna ,wapishi wote hawana cha kupika ....wewe kwa Sasa unatapatapa kama mfia maji tu ....We subiri tar 28 mwezi wa 5
Unateseka ukiwa wapi.Nauli yenyewe ya kwenda France kucheza final unayo [emoji28][emoji28][emoji28]majitu mengine yanaota ndoto za ajabu kweli yani [emoji28][emoji28]huko dressing room hata maji ya kunywa hamna ,chakula cha kula mchana kwa ajiri ya match huna ,wapishi wote hawana cha kupika ....wewe kwa Sasa unatapatapa kama mfia maji tu ....
Chelsea ipi mzee inafika fainali? Au Chelsea ya Mbauda?Fainali Chelsea na Bayern.
Wewe kwenye UEFA ni mdebwedo sana. Ile siyo epl.
Wait and see.
Bayern anasubiri kufanya mazoezi na wewe.Chelsea ipi mzee inafika fainali? Au Chelsea ya Mbauda?
waarifu ndio kitu ganikatika kikao cha Uefa kilichokaa jana wamejadili na wanafikiria kuipiga ban Chelsea, baada ya kuonekana kuwa inafadhiliwa na genge la waarifu
Wanaogopa isichukue UEFA maana, wanaona Moto sio wa kitoto.katika kikao cha Uefa kilichokaa jana wamejadili na wanafikiria kuipiga ban Chelsea, baada ya kuonekana kuwa inafadhiliwa na genge la waarifu