Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hapana, lile dude la Chelsea lilikuwa la kwanza kunyanyuliwa, dude la kwanza ni timu ya nyumbani
Mtanange unaanzia darajani 5 April 2022 na marudio ni Barnabeu 13 April 2022
Taarifa imetoka kwamba ratiba ya chelsea imebadilika.

Maana haiwezekani timu mbili za madrid zikacheza siku moja kwenye jiji moja. Atletico vs Man city na Chelsea vs Madrid.

Hivyo chelsea ataanzia Santiago Bernabeu.

Wamebadili kwa sababu hiyo na taarifa imetoka.
 
Asante kwa taarifa
 
Hao pa kuwakamatia ni mabeki tu wawe wazima,
James arudi kwenye form, Silva, Rudiger na Christensen wawe kwenye form
Katikati Kante na Kovacic wawe kwenye form

James atamthibiti V. Juniour na mbio zake
Silva na Rudiger wamnyime kabisa Benzema nafasi ya kushoot
Ombi langu chalobah na sur wesiawemo katika safu ya ulinzi tukiwa tunacheza Madrid hiyo tarehe 5.... wanafanya makosa ya wazi na bezema yeye anasubilia makosa kama ya chalobah, ila madrid tutaiweza tu.
 
Taarifa imetoka kwamba ratiba ya chelsea imebadilika.

Maana haiwezekani timu mbili za madrid zikacheza siku moja kwenye jiji moja. Atletico vs Man city na Chelsea vs Madrid.

Hivyo chelsea ataanzia Santiago Bernabeu.

Wamebadili kwa sababu hiyo na taarifa imetoka.
Imebaki vile vile
Tutaanzia home

IMG_20220318_164306.jpg
 
Uzuri mmoja
Tunacheza na Real Madrid ambayo inafukuzia ubingwa, sisi hatuna cha kupoteza, full squad, full nondo
Tukikutana na City SF, tunakutana na timu ambayo nayo ina jambo lao na Liverpool. Pia hatukuwa na cha kupoteza, full squad, full nondo
 
Sur ndio nani? Chelsea hatuna huyo mchezaji
Ombi langu chalaboh na sur wesiawemo katika safu ya ulinzi tukiwa tunacheza Madrid hiyo tarehe 5.... wanafanya makosa ya wazi na bezema yeye anasubilia makosa kama ya chalobah, ila madrid tutaiweza tu.
 
Chalobah, God forbid, mechi kubwa hawezi. Asubiri tu mechi na Norwich city
 
Wewe ndo mbumbumbu kabisa hujui kuwa huyo unayemsema underdog ndiye bingwa mtetezi wa mashindano haya, chunguza vizuri ktk orodha hiyo kuna mmoja tu ndo hajawahi kubeba kombe hilo huyo ndo underdog.
Kati hioo orodha man shitty ndio hajaawahi hata beba still anajiona kidume
 
Serious buyers hadi sasa leo ni deadline

1) Saudi Media Group £2.7 bid
2) Boehly-Wyss-Goldstein-Finkelstein consortium - £2.5 bid
3) Ricketts Family - £2.3 bid
Katika individuals walioomba kuinunua Chelsea Ken Griffin kutoka Ricketts Family ndie bilionea tajiri kuliko wote walioomba. Ana utajiri unaomzidi Abramovich mara 3
4) Sir Martin Broughton
Huyu amekuwa long term supporter wa Chelsea
5) Nick Candy - £2.0 bid
Naye ni supporter wa muda mrefu wa Chelsea akipewa suport na Gianluca Vialli ambaye aliwahi kuwa mchezaji no 9 na pia meneja wa Chelsea katika miaka ya 90's mwishoni
6) Aethel Partners - £2.0 bid
7) Woody Johnson - still puting together a consortium - £2.0 bid
8) Muhsin Bayrak
9) Mengineyo
John Tery nasikia naye anataka kununua 10% ya share
Ricketts family n Nick Candy wanampango wa kuungana

Raine Group wanasema inawezekana wa mwisho akainunua Chelsea kulingana na uharaka wa mauzo unavyotegemewa kuwa

Inasemekana baada ya leo tarehe 18, zoezi la mauzo litakwenda kwa kasi na baada ya wiki hivi mnunuzi atakuwa amejulikana ili michakato mingine ifuate mkondfo wake
 
Katika timu ambazo sifuatilii na sijui uwepo wake ni Chelsea yaani sijui hata kwanini...!timu Haina mizuka kabisa yaani Jana kibanda umiza chore kinaangalia game ya arsenal vs liverpool .....!

Harafu nikija huku jf nakuta watu wanapiga kelele et Chelsea sijui daaa
Hahahahah wewe fala ssns unajua

Still upo hapa una comment kwenye uzi wa Chelsea

Kweli anayekuchukia anakupenda sana sema hajui anakupendea nini!!!

Wewe unaipenda sana CHELSEA chama la wana sema unakaza fuvu sana mshamba wewe

Fungua moyo fala

Blue is color

#KTBFFH
 
Serious buyers hadi sasa leo ni deadline

1) Saudi Media Group £2.7 bid
2) Boehly-Wyss-Goldstein-Finkelstein consortium - £2.5 bid
3) Ricketts Family - £2.3 bid
Katika individuals walioomba kuinunua Chelsea Ken Griffin kutoka Ricketts Family ndie bilionea tajiri kuliko wote walioomba. Ana utajiri unaomzidi Abramovich mara 3
4) Sir Martin Broughton
Huyu amekuwa long term supporter wa Chelsea
5) Nick Candy - £2.0 bid
Naye ni supporter wa muda mrefu wa Chelsea akipewa suport na Gianluca Vialli ambaye aliwahi kuwa mchezaji no 9 na pia meneja wa Chelsea katika miaka ya 90's mwishoni
6) Aethel Partners - £2.0 bid
7) Woody Johnson - still puting together a consortium - £2.0 bid
8) Muhsin Bayrak
9) Mengineyo
John Tery nasikia naye anataka kununua 10% ya share
Ricketts family n Nick Candy wanampango wa kuungana

Raine Group wanasema inawezekana wa mwisho akainunua Chelsea kulingana na uharaka wa mauzo unavyotegemewa kuwa

Inasemekana baada ya leo tarehe 18, zoezi la mauzo litakwenda kwa kasi na baada ya wiki hivi mnunuzi atakuwa amejulikana ili michakato mingine ifuate mkondfo wake
Sky News has learnt that Clearlake Capital, which has roughly $60bn of assets under management, has signed up to a consortium headed by Todd Boehly, the LA Dodgers part-owner. (Sky)
 
Serious buyers hadi sasa leo ni deadline

1) Saudi Media Group £2.7 bid
2) Boehly-Wyss-Goldstein-Finkelstein consortium - £2.5 bid
3) Ricketts Family - £2.3 bid
Katika individuals walioomba kuinunua Chelsea Ken Griffin kutoka Ricketts Family ndie bilionea tajiri kuliko wote walioomba. Ana utajiri unaomzidi Abramovich mara 3
4) Sir Martin Broughton
Huyu amekuwa long term supporter wa Chelsea
5) Nick Candy - £2.0 bid
Naye ni supporter wa muda mrefu wa Chelsea akipewa suport na Gianluca Vialli ambaye aliwahi kuwa mchezaji no 9 na pia meneja wa Chelsea katika miaka ya 90's mwishoni
6) Aethel Partners - £2.0 bid
7) Woody Johnson - still puting together a consortium - £2.0 bid
8) Muhsin Bayrak
9) Mengineyo
John Tery nasikia naye anataka kununua 10% ya share
Ricketts family n Nick Candy wanampango wa kuungana

Raine Group wanasema inawezekana wa mwisho akainunua Chelsea kulingana na uharaka wa mauzo unavyotegemewa kuwa

Inasemekana baada ya leo tarehe 18, zoezi la mauzo litakwenda kwa kasi na baada ya wiki hivi mnunuzi atakuwa amejulikana ili michakato mingine ifuate mkondfo wake
Kwa jana kulikuwa na bidders 27 ila source zilisema kuna wengine bado hawajasubmit bids zao ila leo watasubmit

Mwisho wa kupokea ofa ni leo saa 3:00 usik kw saa za uk ambazo ni sawa na saa 6 usiku kwa saa zetu
 
Uzuri mmoja
Tunacheza na Real Madrid ambayo inafukuzia ubingwa, sisi hatuna cha kupoteza, full squad, full nondo
Tukikutana na City SF, tunakutana na timu ambayo nayo ina jambo lao na Liverpool. Pia hatukuwa na cha kupoteza, full squad, full nondo
Tunaanzia nyumbani au ugenini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom