Hizo beki ulizotaja hapa zikiwa poa huyo madrid anakufa vizuri kabisa. Hachomoki.Hao pa kuwakamatia ni mabeki tu wawe wazima,
James arudi kwenye form, Silva, Rudiger na Christensen wawe kwenye form
Katikati Kante na Kovacic wawe kwenye form
James atamthibiti V. Juniour na mbio zake
Silva na Rudiger wamnyime kabisa Benzema nafasi ya kushoot







Akimpita Alonso anakutana na RudigerYaani ALONSO hamzuie vinicius hapo ngoja kwanza ncheke![]()




Kwahiyo rudiger atakua na kazi mbili kumzuia vin na benzema kumbuka ile mechi ya liverpool 2-2 lile goal alilofunga Mo Salah alivyompita tuu alonso akamaliza shughurAkimpita Alonso anakutana na Rudiger![]()
Wewe pambana kabla atletico akuchomoeRevenge kwa Madrid![]()
Vini hachezi upande wa AlonsoYaani ALONSO hamzuie vinicius hapo ngoja kwanza ncheke![]()
Vinicius Junior hachezi upande wa Alonso, anacheza Left Wing na anayemzuia ni James, akimpita james anakutana na Christensen , End of storyYaani ALONSO hamzuie vinicius hapo ngoja kwanza ncheke![]()
vin anachez upande tofautYaani ALONSO hamzuie vinicius hapo ngoja kwanza ncheke![]()
Mwanangu hao wote watakimbilia kwa alonso sabab huo ndo uchochoro na kila mchezaji anajua hilo uwanja utainamia upande wa alonsoVinicius Junior hachezi upande wa Alonso, anacheza Left Wing na anayemzuia ni James, akimpita james anakutana na Rudiger, End of story
Alonso kama atacheza atapambana na Asensio
Mwisho wa nyumbu FC ni wapi?Mwisho wa kongolo fc kwenye Uefa.
That is too much insult, hata kama anaborongaga, Alonso anahitaji heshima angalau kidogo. Winga wa kushoto hawezi hamia kulia sijawahi kuona hiyo. sana sana anaweza cheza popote wakati wa kushambulia kwenye final third na wakati huo kila mchezaji anakuwa ni defenderMwanangu hao wote watakimbilia kwa alonso sabab huo ndo uchochoro na kila mchezaji anajua hilo uwanja utainamia upande wa alonso
Mwisho wa Nyumbu ni Serengeti, pale Ndutu wanapozalianaMwisho wa nyumbu FC ni wapi?
Kuna Silva pia kuna ChristensenKwahiyo rudiger atakua na kazi mbili kumzuia vin na benzema kumbuka ile mechi ya liverpool 2-2 lile goal alilofunga Mo Salah alivyompita tuu alonso akamaliza shughur
Hapana, lile dude la Chelsea lilikuwa la kwanza kunyanyuliwa, dude la kwanza ni timu ya nyumbaniMechi yetu na Madrid tunaanzia ugenini kisha tunamalizia darajani