Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Gianluca Vialli (Muitaliano) ambaye ni bilionea anayemsuport Nick Candy kwenye kuinunua Chelsea alishawahi kuichezea Chelsea kama na 9 na pia kuwa meneja wa timu. Baada ya kustaafu soka mwaka uliofuatia yaani 99/00 alikuwa rasmi manager wa Chelsea na alishinda FA Cup, League Cup, UEFA Cup Winners Cup and UEFA Super Cup
Sasa anataka kurudi kama mmiliki wa Chelsea

View attachment 2154828
Mmh Mzee huyo ameajiliwa kama mshauri na nick candy na si bilionea
 
Makocha wanaoongoza kwa kufika nusu fainali za UEFA ni Kipara na Jose. Wamefika nusu finali nane wakiwa kama makocha
 
1647601828997.png
 
Quarter Finals
  1. Chelsea vs Real Madrid
  2. City vs Atl Madrid
  3. V Real vs Bayern Munich
  4. Benefica vs Liverpool
Semi Finals
  1. Winner of QF2 vs Winner of QF1
  2. Winner of QF4 vs Winner of QF3
Final
Winner of SF2 vs Winner of SF1

Quarter-finals
First legs: 5/6 April
Second legs: 12/13 April

Semi-finals
First legs: 26/27 April
Second legs: 3/4 May

Final
Saturday 28 May (Stade de France, Paris)
 
Hizi timu tulishacheza nao mwaka jana
  1. Real Madrid (first leg 1-1; second leg 2-0)
  2. City (Final 1-0) au Atl Madrid (first leg 1-0; second leg 2-0)
Wa Finali ndie hatumjui, kama tutakutana na V real tumechea naye kwenye UEFA supper cup
 
hawa real msimu huu wamebadika sana chelsea inabidi ajipange vizuri
Hao pa kuwakamatia ni mabeki tu wawe wazima,
James arudi kwenye form, Silva, Rudiger na Christensen wawe kwenye form
Katikati Kante na Kovacic wawe kwenye form

James atamthibiti V. Juniour na mbio zake
Silva na Rudiger wamnyime kabisa Benzema nafasi ya kushoot
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom