Safari badoJob done aibu kwa boris na genge lake
Mwambie Muheshimiwa Jaji kwanini tusipewe wewe kibonde wetu Liverkuku kwa hatua inayofuata?Safari bado
Naombeni matokeo ya mechi kati ya Liverpool vs Arsenal
Tt legend
Wewe ndo mbumbumbu kabisa hujui kuwa huyo unayemsema underdog ndiye bingwa mtetezi wa mashindano haya, chunguza vizuri ktk orodha hiyo kuna mmoja tu ndo hajawahi kubeba kombe hilo huyo ndo underdog.Kama kawaida Chelsea ni underdog kwenye huu msafaraView attachment 2153545
Kama kawaida Chelsea ni underdog kwenye huu msafaraView attachment 2153545
Umepotea njia wewe.Naombeni matokeo ya mechi kati ya Liverpool vs Arsenal
Wewe ndo mbumbumbu kabisa hujui kuwa huyo unayemsema underdog ndiye bingwa mtetezi wa mashindano haya, chunguza vizuri ktk orodha hiyo kuna mmoja tu ndo hajawahi kubeba kombe hilo huyo ndo underdog.
Mkuu hatujakataa. Sisi ni Underdog.Kama kawaida Chelsea ni underdog kwenye huu msafaraView attachment 2153545
Chelsea timu inayoongoza kwa kutesa watu na bado kombe tunalitakaMkuu hatujakataa. Sisi ni Underdog.
Tuna UEFA Cup 2
Tuna UEFA Super Cup 1
Tuna Club World Cup 1.
Man City anazo ngapi?. Badala ya kutumia nguvu nyingi kukaza vuvu hapa kwa next level bor ukomae upate walau kombe moja hapo juu.
Wewe level zako ni kina QPR, Sheffield United, Bournemouth n.k
Hapo ulipo unatetemeka unapomuona Chelsea amequalify. Hutamani hata kukutanae. Naami Chelsea anakutana na CityKubali tu katika hizo timu Chelsea ni underdog ,haijalishi ni bingwa mtetezi au laaah![]()




Wanaumia sana wanapoona Chelsea inaprogress kila hatua. Roho inawauma kweli kweliChelsea timu inayoongoza kwa kutesa watu na bado kombe tunalitaka


Crystal Palace sio magaidiKatika timu ambazo sifuatilii na sijui uwepo wake ni Chelsea yaani sijui hata kwanini...!timu Haina mizuka kabisa yaani Jana kibanda umiza chore kinaangalia game ya arsenal vs liverpool .....!
Harafu nikija huku jf nakuta watu wanapiga kelele et Chelsea sijui daaa![]()



