Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mimi nimeshindwa Hadi cha kuandika kuhusu Hilo.

Mtu anamlaumu kocha, kocha ambaye ametupatia karibu kila kombe muhimu duniani kwa muda mfupi. Mnataka Mungu awape nn enyi kizazi cha nyoka!?

Wachezaji haohao ndio wameleta hayo makombe, kln lawama kibao toka kwetu mashabiki (baadhi)
Baadhi ya mashabiki wa the blues tunaomba mengi kutoka kwa kocha wetu TT wakati amesha tupa ya kutosha.
hatuna shukurani, angalia tumu kama Man u, arsenal T tnam, wanatumia pesa nyingi kuliko hata Chelsea ila hawana chochote, na kumalizia tu kwenye nafasi ya nne kwenye Epl kwao ni ushindi, wakati chelsea inaona ni lazma imelizie in top 4 kama sio kuchukua kombe kabisa..........tufikie mahara tu ridhike huo mpira wa kasi mnao taka hausaidie kama hushidi vikombe angalia Barcelona inovo struggle kwasasa kwa kulazimisha mpira wake wakasi,
 
2-0 ni ushidi mkubwa kwa the blues, Juve alie ongoza kundi letu katoka sare ya 1-1, kwahiyo tusimulaumu TT kwa mchezo wa spidi ya konokono@lembu aina ya wachezaji wetu sio wa kasi, tukilazimisha kucheza kama timu fulani inavo cheza, tutakosa hata nafasi ya nne kwenye Epl hi Uefa Semi tunafika na final tutacheza na PSG na kwa mfumo wetu tutawashinda kwa mikwaju ya panati baada ya kutoka sare ya 1-1....note my words
 
Hata kama kaongoza sio tatizo Lile ni oponent wa kawaida, huwezi kufananisha na mechi na Liverpool wikiend. Ufaranza wako PSG tu ndio level ya Chelsea
Tofauti ya Lille na hizo timu ulizotaja ni ukatili mbele ya goal.

ila Lille wana mpira mzuri pia.

Jana tungecheza vibaya kama tunavyochezaga siku zote ndio ungejua hujui.
 
Mimi nimeshindwa Hadi cha kuandika kuhusu Hilo.

Mtu anamlaumu kocha, kocha ambaye ametupatia karibu kila kombe muhimu duniani kwa muda mfupi. Mnataka Mungu awape nn enyi kizazi cha nyoka!?

Wachezaji haohao ndio wameleta hayo makombe, kln lawama kibao toka kwetu mashabiki (baadhi)
Mkuu mashabiki wa Chelsea wanataka kila mchezaji afunge. Hapo utaona furaha zao. Kitu ambacho ni ngumu. Wengine wanashinda betting place wakiwa na matokeo yao mkononi. Shida ndiyo hiyo so we hata usiangaike nao.

Juzi kati hapa zyich na Pulisic wanalitwa taka taka. Leo wanafunga yale majina hayopo tena. Tuendelee kushabikia timu yetu.
 
Baadhi ya mashabiki wa the blues tunaomba mengi kutoka kwa kocha wetu TT wakati amesha tupa ya kutosha.
hatuna shukurani, angalia tumu kama Man u, arsenal T tnam, wanatumia pesa nyingi kuliko hata Chelsea ila hawana chochote, na kumalizia tu kwenye nafasi ya nne kwenye Epl kwao ni ushindi, wakati chelsea inaona ni lazma imelizie in top 4 kama sio kuchukua kombe kabisa..........tufikie mahara tu ridhike huo mpira wa kasi mnao taka hausaidie kama hushidi vikombe angalia Barcelona inovo struggle kwasasa kwa kulazimisha mpira wake wakasi,
Futa hii
 
Mimi nimeshindwa Hadi cha kuandika kuhusu Hilo.

Mtu anamlaumu kocha, kocha ambaye ametupatia karibu kila kombe muhimu duniani kwa muda mfupi. Mnataka Mungu awape nn enyi kizazi cha nyoka!?

Wachezaji haohao ndio wameleta hayo makombe, kln lawama kibao toka kwetu mashabiki (baadhi)
Acha uduanzi wewe, kwahiyo kama kuna mambo hayapo sawa tusicriticize kisa ametupa makombe, morinho ni moja ya makocha walioipa chelsea heshima ya makombe, lakin alivyozingua alitimuliwa vile vile.

Kukosoa ni moja ya njia kujenga.
 
Kuna tofauti kubwa sana ya kiuchezaj akiwa havertz kama false no 9 na akiwa lukaku kama no 9 halisi/ target man

Uwepo wa havertz tunaona kabisa fluidity katika ushambuliaji, ni tofauti na uwepo wa lukaku

Sio kwa mech moja tu ya leo mechi nyingi tu anazocheza havertz unaona kabisa tunacreate chance za kufunga.

Jins anavyolink kwenye build up, movement zake unakuta anaitanua defens ya tim pinzan.
Na hiyo ndio tofauti ya false no. 9 na striker. Kuna faida na hasara za kila mfumo. Striker wengi wanapata fursa chache na kuzitumia. Mfano wa Drogba na Costa. Ila pia mfumo wa Chelsea kwa miaka mingi haiwawezeshi strikers kufanya vizuri. Inawezesha zaidi falso no 9 kufunga na ndio maana Lukaku atatakiwa kuweka juhudi sana kufit huu mfumo. Akija Kane kwa mfano atafit kwa sababu yete huwa hachezi kama natural striker hata akipangwa no. 9. Yeye hucheza zaidi kama false no. 9 au wide winger. Hivyo hivyo kwa akina Werner, Havertz, Pulisic nk. Tukicheza na oponent anayefunguka kwenye open play Lukaku anaweza funga ila kwa timu zenye kujaza mabeki nyuma Lukaku atacheza kwa shoda sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom