Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kuna tofauti kubwa sana ya kiuchezaj akiwa havertz kama false no 9 na akiwa lukaku kama no 9 halisi/ target man

Uwepo wa havertz tunaona kabisa fluidity katika ushambuliaji, ni tofauti na uwepo wa lukaku

Sio kwa mech moja tu ya leo mechi nyingi tu anazocheza havertz unaona kabisa tunacreate chance za kufunga.

Jins anavyolink kwenye build up, movement zake unakuta anaitanua defens ya tim pinzan.
 
Bora hata wewe umeona,kuna watu watakwambia sijui lukaku kafanyaje
 
Kuna washabiki humu wanavyoikosoa Chelsea kana kwamba anacheza na coastal union
Mimi nimeshindwa Hadi cha kuandika kuhusu Hilo.

Mtu anamlaumu kocha, kocha ambaye ametupatia karibu kila kombe muhimu duniani kwa muda mfupi. Mnataka Mungu awape nn enyi kizazi cha nyoka!?

Wachezaji haohao ndio wameleta hayo makombe, kln lawama kibao toka kwetu mashabiki (baadhi)
 
Ni ujuaji na ulimbukeni wala msipate nao shida then watakuja hapa kusifu na kupongeza timu ikishinda
 
Kazi ndio imeanza sasa.
20220223_073600.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom