Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Final ipi mmecheza na psg ,embu tukumbushe2-0 ni ushidi mkubwa kwa the blues, Juve alie ongoza kundi letu katoka sare ya 1-1, kwahiyo tusimulaumu TT kwa mchezo wa spidi ya konokono@lembu aina ya wachezaji wetu sio wa kasi, tukilazimisha kucheza kama timu fulani inavo cheza, tutakosa hata nafasi ya nne kwenye Epl hi Uefa Semi tunafika na final tutacheza na PSG na kwa mfumo wetu tutawashinda kwa mikwaju ya panati baada ya kutoka sare ya 1-1....note my words







