Tukizidiwa kushoto Alonso sio wa kuaminiwa, tukicheza vizuri na Alonso akawa na mind set ya kushambulia mambo yatakuwa safi kwa upande wetuNimependa kikosi Cha leo Pulisic kawekwa kwenye nafasi yake sahihi Lukaku kukaa benchi safi Sana Leo ndio tutashuhudia soka tamu la chelseafc kama wachezaji watakuwa kwenye ubora wao
We huna macho leo chelseafc imechangamka kweli kweli sema wapinzani wanakaba man to manChelsea kama kawaida, wanacheza kikonokono sijui ni ni kocha au wachezaji wanaamua tu
I am very sory, tunacheza na oponent wa kawaida. Chelsea ni ile ile mpira wa kuvuta sana na kucheza kwa umaridadi. hawako sharp wala hakuna pasi za haraka haraka. labda waje second half wamebadilikaWe huna macho leo chelseafc imechangamka kweli kweli sema wapinzani wanakaba man to man
Opponet wa kawaida?I am very sory, tunacheza na oponent wa kawaida. Chelsea ni ile ile mpira wa kuvuta sana na kucheza kwa umaridadi. hawako sharp wala hakuna pasi za haraka haraka. labda waje second half wamebadilika
Hata kama kaongoza sio tatizo Lile ni oponent wa kawaida, huwezi kufananisha na mechi na Liverpool wikiend. Ufaranza wako PSG tu ndio level ya ChelseaOpponet wa kawaida?
Huyu aliongoza kundi lake akiwa na akina salzburg...
Mpe heshima yake.
lembu unaniangusha sana Nani kwakuambia lile ni wa kawaida? Hiv tulivyocheza leo Unaweza kulinganisha na game dhidi ya crystal Palace hao jamaa wanachsza kimbinu SanaI am very sory, tunacheza na oponent wa kawaida. Chelsea ni ile ile mpira wa kuvuta sana na kucheza kwa umaridadi. hawako sharp wala hakuna pasi za haraka haraka. labda waje second half wamebadilika
Wewe ndio unatuangusha kulinganisha Lile na Chelsea na hatukupaswa kujadili hiyo madalembu unaniangusha sana Nani kwakuambia lile ni wa kawaida? Hiv tulivyocheza leo Unaweza kulinganisha na game dhidi ya crystal Palace hao jamaa wanachsza kimbinu Sana