Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tuchel sasa ana changamoto kubwa
Havertz yuko kwenye form na kasema nafasi inayomfaa ni no. 9 na ameonyesha kwa vitendo
Lukaku yuko mzima hana majeruhi na mchezaji wa pesa kubwa anaweza kukaa benchi kweli?
TT kadai mechi ya jana kamuweka benchi Lukaku wa sababu anadhani yuko exausted
Je jumapili ataendelea kukaa benchi au atarudi uwanjani?
Hii mimi naiona kama changamoto kubwa kwa sababu bodi ya Chelsea hawatakubali kuona mradi wao mkubwa waliowekeza kwa Lukaku inakuwa wasted kwa kuwekwa benchi akiwa mzima. Na TT kwa upande wake anaona kumchezesha Havertz ndio itaipa timu ushindi dhidi ya Liverpool.

Mimi naona TT angeendelea kumuweka Lukaku benchi

Twende na hii format 3-4-3

Werner -----------------Havertz --------------------Mount

Alonso ------- Jorgninho ------ Kante ---------Azpilicueta

Rudiger ----------------- Silva -------------------Christansen

Mendy
Asumption
Ziyech na Kovacic watakuwa majeruhi
Alonso mtoe hapo kwanini kocha asimpe nafasi yule bwana mdogo Vale kama anaona nafasi ya wingback upande wa left unapwaya
 
Hapo Kwa Alonso n lawama ...Reece James km angekuwa fit zaidi kuanza angeanza upande WA kulia Afu cezar anakaa huo upande WA kushoto....Labda TT aamue kumrush Reece. Aliyetoka kwenye injury..vinginevyo hapo Kwa Alonso nikuangalia game ya final huku umebana mbupu
 
Pamoja na madhaifu ya Alonso yeye ndie kwa sasa mzoefu wa hiyo nafasi, Sarr ni mzuri kwenye kudefend zaidi ya Alonso lakini sio mzuri kwenye kupeleka mashambulizi mbele. Alonso akipata nafasi ni mzuri sana kwenye kushambulia. Reece James akiwahishwa kucheza basi Azpilicueta atacheza kushoto
 
Alonso mtoe hapo kwanini kocha asimpe nafasi yule bwana mdogo Vale kama anaona nafasi ya wingback upande wa left unapwaya
Vale bado anajifunza, hakuna kocha atampanga kinda kama huyo kwenye mechi kubwa kama hiyo ya Jpili. Pamoja na madhaifu ya Alonso yeye ndie kwa sasa mzoefu wa hiyo nafasi. Alonso akipata nafasi ni mzuri sana kwenye kushambulia. TT ampe maelekezo makali na twende na Alonso, akichoka Sarr ataingia badala yake. Reece James akiwahishwa kucheza basi Azpilicueta atacheza kushoto
 
Tuchel sasa ana changamoto kubwa
Havertz yuko kwenye form na kasema nafasi inayomfaa ni no. 9 na ameonyesha kwa vitendo
Lukaku yuko mzima hana majeruhi na mchezaji wa pesa kubwa anaweza kukaa benchi kweli?
TT kadai mechi ya jana kamuweka benchi Lukaku wa sababu anadhani yuko exausted
Je jumapili ataendelea kukaa benchi au atarudi uwanjani?
Hii mimi naiona kama changamoto kubwa kwa sababu bodi ya Chelsea hawatakubali kuona mradi wao mkubwa waliowekeza kwa Lukaku inakuwa wasted kwa kuwekwa benchi akiwa mzima. Na TT kwa upande wake anaona kumchezesha Havertz ndio itaipa timu ushindi dhidi ya Liverpool.

Mimi naona TT angeendelea kumuweka Lukaku benchi

Twende na hii format 3-4-3

Werner -----------------Havertz --------------------Mount

Alonso ------- Jorgninho ------ Kante ---------Azpilicueta

Rudiger ----------------- Silva -------------------Christansen

Mendy
Asumption
Ziyech na Kovacic watakuwa majeruhi
Kikosi kizuri ichi lukaku akaae njee atupishe kwanza sema pengo la ziyech ndo litatupa shida maana kwa sasa yupo kwenye ubora wake
 
Hii mechi ya Fainali mpango mzima ni sisi kwenda kwenye mikwaju ya penati, Keppa akatutoe kimasomaso.

Liverkuku wako bora kila mahali zaidi yetu, tukicheza kama wao wanavyotaka tutaumia.

Twendeni na ulinzi shirikishi, tufunge njia zote, nafasi zote.

------------- PULISIC ------ HARVTEZ --------------

ALONSO - KANTE - JOG - KOVACIC - AZIP

---- RUDGER --- SILVA --- CHRISTENSEN ---
Tukichezesha kante+jorg+kova kwa pamoja tumekwisha mapema

Tutawaruhusu liver wafanye watakavyo

Kitu pekee ni kutowaruhusu rob n trent kutopanda sana n kuwin 2nd ball zote
 
Sio nafas yake halisi,
Lakini anacheza viz
Hii mechi ya Fainali mpango mzima ni sisi kwenda kwenye mikwaju ya penati, Keppa akatutoe kimasomaso.

Liverkuku wako bora kila mahali zaidi yetu, tukicheza kama wao wanavyotaka tutaumia.

Twendeni na ulinzi shirikishi, tufunge njia zote, nafasi zote.

------------- PULISIC ------ HARVTEZ --------------

ALONSO - KANTE - JOG - KOVACIC - AZIP

---- RUDGER --- SILVA --- CHRISTENSEN ---
Chelseafc sio leeds kumbuka Hilo huo ushauri sio mzuri kwanza kumuweka alonso teyari inafanya awe uchochoro wa Liverpool Chelsea ili imfunge liverpool wala hawaitaji waende kwenye penalty kama unavyosema wewe.Kama Chelsea itaanza na false 9 basi uwezo wa kumfunga liverpool ni mkubwa Sana kwasababu soka tutakalocheza litakuwa ni rafiki kwa style ya uchezaji wa Liverpool
 
Hii mechi ya Fainali mpango mzima ni sisi kwenda kwenye mikwaju ya penati, Keppa akatutoe kimasomaso.

Liverkuku wako bora kila mahali zaidi yetu, tukicheza kama wao wanavyotaka tutaumia.

Twendeni na ulinzi shirikishi, tufunge njia zote, nafasi zote.

------------- PULISIC ------ HARVTEZ --------------

ALONSO - KANTE - JOG - KOVACIC - AZIP

---- RUDGER --- SILVA --- CHRISTENSEN ---
Chief I am sorry, hii aproach TT katumia mara mbili kwa city haikuwork. Tunachotakiwa tucheze normal chelsea football ili
  1. Wachezaji wasiwe na tension kubwa ya kujihami na kufanya final third yetu kuwa uwanja wa vita
  2. Pili tucheza na Liverpool kama tulivyocheza nao kwenye ligi, tunapata nafasi ya kushambulia na kufunga tunafanya hivyo
  3. Chelsea iache ukonokono mbele ya Liverpool, wakipress high na kuhakikisha second balls tunaziwahi Liverpool hawataweza kutufunga
  4. Wingi wa viungo hautasaidia kitu, hata 3-4-3 bado tunaweza kujihami zaidi na mashambulizi ya kupanga au kushtukiza ikibidi
  5. Ni lazima tuhakikishe Liver ndio wanatufukuza kusawazisha sio kujihami watatufanya kama Leeds
 
Mechi ya kwanza vs liverkuku msimu huu

Hii James alikula umeme

Tulianza hivi View attachment 2129600
Lukaku kwa uchezaji wake hataweza. Hapo kwa Lukaui weka Havertz na wka Havertz weka Mount na kwa Mount weka Werner, Kwa Christansen weka Silva na kwa Azpi weka Christansen, kwa JAmes weka Azpi na game kuishinei. Jumapili Pulisic asicheze kabisa. Odoi kama kapona sub, Cheek sub, Luka sub, Kepa sub kama tutakwend akwenye matuta
 
Hii mechi ya Fainali mpango mzima ni sisi kwenda kwenye mikwaju ya penati, Keppa akatutoe kimasomaso.

Liverkuku wako bora kila mahali zaidi yetu, tukicheza kama wao wanavyotaka tutaumia.

Twendeni na ulinzi shirikishi, tufunge njia zote, nafasi zote.

------------- PULISIC ------ HARVTEZ --------------

ALONSO - KANTE - JOG - KOVACIC - AZIP

---- RUDGER --- SILVA --- CHRISTENSEN ---
Kwa silimia kubwa Kova hatacheza, mtu ambaye yuko 50/50 kucheza ni Odoi, James 25% Ziyech na Kova bado hawajatadhminiwa ukubwa wa majeruhi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom