lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,698
- 25,912
Jana uwanja haukuwa na shamra shamra zozote, magoli ya Chelsea yalifungwa kimya kimya ila goli lao lilipoingia utadhani wao ndio wameshinda. Inavyoelekea hii timu kwanza wameweka rekodi ya kucheza na mabingwa wa Ulaya, pili wameweka rekodi ya kuifunga goli bingwa wa ulaya. Hiyo ndio kiini cha wao kushangilia[emoji16][emoji16][emoji119][emoji16][emoji16][emoji119][emoji16][emoji16] heshma ambayo nyumbu assanal na livakuku wanatakiwa kuitoa wakipata kagol kwa mabingwaView attachment 2074689