42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,835
- 8,914
Subiri watajutaMadrid hawajajua tuu Sisi ndio watahalamu wa kuuza mbuzi kwenye gunia Kwa bei ya dhahabu Safi kabsa
Subiri watajutaMadrid hawajajua tuu Sisi ndio watahalamu wa kuuza mbuzi kwenye gunia Kwa bei ya dhahabu Safi kabsa
Kwahyo mnamaanisha Rudiger ni furushi kama Furushi Lukaku?Subiri watajuta
Akishatoka the blues watamkataa.... [emoji16][emoji16][emoji16]Kwahyo mnamaanisha Rudiger ni furushi kama Furushi Lukaku?
Anaondoka BureHIVI RUDIGER TUNAUZA AU ANAONDOKA BURE ????
Marina amechelewa hapa angemuongezea mkataba mapema tulikua tunachukua 80M-100M alafu tunatafuta defender mwingine kama tulivyofanya kwa hazardAnaondoka Bure
Mapema lini? Rudiger ameshaini baada ya Tuchel kuja, hiyo mapema ni lini?Marina amechelewa hapa angemuongezea mkataba mapema tulikua tunachukua 80M-100M alafu tunatafuta defender mwingine kama tulivyofanya kwa hazard
Kwahiyo yupo kwenye mkataba alafu anaondoka bure???Mapema lini? Rudiger ameshaini baada ya Tuchel kuja, hiyo mapema ni lini?
January akitokea anayemtaka atauzwa, July ataondoka bure kwa kuwa mkataba wake utakuwa umeishaAnaondoka Bure
Mkataba wake unaisha june. Labda tumuuze sasa hivi.Kwahiyo yupo kwenye mkataba alafu anaondoka bure???
naskia tt anapambana aletewe dembele wa barcaUle ushambuliaji wa utoto utoto kule mbele uongozi, benchi la ufundi wanaumalizaje? Suluhu la kufunga magoli mengi ni lipi?
Asije huyu ni PEPE WA ARSENAL NAMBA 2naskia tt anapambana aletewe dembele wa barca
yuko vzur ila upande wa injury[emoji22][emoji119] pulisic akasomeAsije huyu ni PEPE WA ARSENAL NAMBA 2
Ndio maaanna nasema mkuu asije wala hana haja ya kupush kuja a push Rudiger asiondokayuko vzur ila upande wa injury[emoji22][emoji119] pulisic akasomeView attachment 2077775
kwa rudiger n ngum offer walzotoa psg bayer na madrid znashawish sizan kama atabakNdio maaanna nasema mkuu asije wala hana haja ya kupush kuja a push Rudiger asiondoka
Muache aondoke na yy kwani dunia nzima ndio beki bora tutapata tukwa rudiger n ngum offer walzotoa psg bayer na madrid znashawish sizan kama atabak